Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 525
- 876
Umjamuelewa mtao madaWhat about Uganda,Nigeria where English is widely used nao wako vizuri sio?.Don't forget Zimbabwe again in your research
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umjamuelewa mtao madaWhat about Uganda,Nigeria where English is widely used nao wako vizuri sio?.Don't forget Zimbabwe again in your research
Tanzania ni nchi pekee mtu anamaliza darasaa saba na anafaulu kujiunga form 1 ila hajui kusoma. Hii nimethibitishaUko sahihi ila kinacho iponza Tanzania ni elimu fake, Tanzania ni nchi peke wadarasa la saba na graduate wakika pamoja huwezi kuwatofautisha mpaka watowe vyeti vyao, kwa mfano mzuri musukuma ikiwa bungeni hana tofauti na profesa moja wakiwa wana changia hoja.
Mkuu wataka kusema kwamba Tanzania haina ukabila, udini, ukaanda, ubaguzi wa rangi? nk.....neno ukabila unatumika na wana siasa kuhalalisha kutumia kiswahili ila ukweli ni kwamba ukabila ulioko Tz unazidi ulioko uganda udini ulioko Tz ni mkubwa kuliko ulioko kenya, tembea ujionee mwenyewe.Ooh kumbe but they speak English right? Sasa kama English imetumika kama kigezo cha kujitambua na ukombozi kifikra kwanini wanakuwa na ukabila?Kwanini English isiwe unifying tool huko Nigeria na Uganda?
Ok,wewe liweke sawa labda ulivyoelewa.Ameongelea lugha kama sehemu ya kumfanya mtu kujitambua na suala la kuamka kifikira na katumia English kama mfano ndio maana nikauliza Uganda,Nigeria,Zimbabwe huko hali zao ziko vipi? maana English iko widely used hukoUmjamuelewa mtao mada
Hao wote hawana ukondoo kama wa kwetuWhat about Uganda,Nigeria where English is widely used nao wako vizuri sio?.Don't forget Zimbabwe again in your research
Wewe unaogopa kupoteza mmeo tuNenda huko kwenye prukushani mwenyeweee. Tuachie tuijenge tanzania kwa uzalendo na mshikamano. Kwakuwa huna cha kupoteza ndiomaana unabwabwaja tuuu.
Uko sahihi kwa maneno ya kimombo unaweza muelewesha mtu Kwa ufasaha zaidi, (we normally think outside the box)Nchi zote tatu za Afrika Mashariki, Uganda, Kenya na Tanzania zilitawaliwa na mkoloni mmoja kwa wakati mmoja. Waganda na wakenya wao lugha wanayotumia na kuimiliki ni Kiingereza na Tanzania ni waongeaji wazuri wa kiswahili tu, yaani waswahili.
Lugha ina tabia ya kuendana na utamaduni wake. Mfano waingereza na waongeaji wa Kiingereza ni watu wenye utamaduni wa kuwa wazi, wakweli na wathubutu. Waswahili wana tabia ya kuwa waoga, waongo na wanafiki.
Hali inayoendelea Kenya kisiasa na kiuchumi haitofautiani na ya Tanzania. Wizi, ufisadi na rushwa kwa viongozi vimetamalaki katika nchi zote mbili ila kuna tofauti ya jinsi ya kukabiliana nayo.
Wakenya wana uthubutu wa kusema ukweli hadharani, kujitokeza na kuupinga uovu huo. Tanzania tunasifia na kutukuza wezi, mafisadi na wala rushwa huku wengi wakiendelea na maumivu yasiyomithilika.
Hapo ndipo linakuja suala la lugha na utamaduni wake. Upande mmoja ni ukweli, uwazi na uthubutu na huku kwingine ni unafiki, uoga, uongo na ujinga mwingi.
Mungu atusaidie, amina.
Mimi sitaki kujua yaliyopo Tanzania katika hii debate.Binafsi niko against na wanaona sema English has been a tool of awakening people,making them see world different from others who don't speak English.Nimekuuliza Uganda,Nigeria and Zimbabwe mambo yako sawa ukichukulia kigezo cha lugha.Mkuu Tanzania haina ukabila, udini, ukaanda, ubaguzi wa rangi nk.....neno ukabila unatumika na wana siasa kuhalalisha kutumia kiswahili ila ukweli ni kwamba ukabila ulioko Tz unazidi ulioko uganda udini ulioko Tz ni mkubwa kuliko ulioko kenya, tembea ujionee mwenyewe.
Nakumbuka mwaka 2021 wakati wa kampeini za uraisi museven alimkamata bobwine waganda wakaingia barabarani mpaka hali ikawa mbaya akaachiliwa bila mashariti yoyote ila zaidi ya waganda 50 waliuawa na jeshi la museveni, hapa kwetu Mbowe kabambikizwa kesi za uhaini na kufungwa miezi 9 jela hata , chama chake walishindwa kuandamana, baba wawatu amerudi ni mpole with a compromising political mood.......sisi hapa ni kondooo kweli kweli.Hao wote hawana ukondoo kama wa kwetu
Kwamba Zimbabwe ambao wanakimbia kwenda SA kukimbia ugumu wa maisha kwao wanawazidi wabongo sio? Nigeria ambayo wenyewe wanakubali kwamba they're fucked up bado wewe unapata nguvu ya kusema sio kondoo.Sitaki kusema Uganda maana huko pameozaHao wote hawana ukondoo kama wa kwetu
Mkuu hata kufikilia ni tofauti mtu anae reason kwa kwa kutumia kiingereza na yule anae tumia kiswahili their reasoning capacity are not equal, mfano sikiliza reasoning ya mkuu wa mkoa Dar chalamila wakati wa mgomo na reasoning ya Ruto wakati wa mandamano, ndo utaoana chalamila nikama wa darasa la saba au form one.....too childish.They use English as a stepping stone to achieve their goals, but Tz uses swahili as a stepping stone that's why we are very far behind in development.
Tatizo lako unadhani uzalendo ni kuwatii watawala blindly bila kujiongeza. Uzalendo ni kwa nchi yako hivyo mzalendo sharti awe tayari kuipigania nchi yake na siyo kutetea wanaofuja rasilimali za taifa kwa maslahi yao na wanaowazunguka.Nenda huko kwenye prukushani mwenyeweee. Tuachie tuijenge tanzania kwa uzalendo na mshikamano. Kwakuwa huna cha kupoteza ndiomaana unabwabwaja tuuu.
Hali elioko Zibabwe ingekutana na Wa Tanzania mpaka sasa tungekua decared "failed state" na UN au Museveni angekua Raisi wa Tanzania angekua anatupagia hata mda wa kula na kulala kabisa tusinge weza kumfanya chochote.......Kwamba Zimbabwe ambao wanakimbia kwenda SA kukimbia ugumu wa maisha kwao wanawazidi wabongo sio? Nigeria ambayo wenyewe wanakubali kwamba they're fucked up bado wewe unapata nguvu ya kusema sio kondoo.Sitaki kusema Uganda maana huko pameoza
Hizi ni assumptions ambazo haziko backed up na any form of reasoning pattern.Ni kipi kinakusukuma kusema kwamba watanzania wanaweza pangiwa mpaka mda wa kulalaHali elioko Zibabwe ingekutana na Wa Tanzania mpaka sasa tungekua decared "failed state" na UN au Museveni angekua Raisi wa Tanzania angekua anatupagia hata mda wa kula na kulala kabisa tusinge weza kumfanya chochote.......
Hujui Idadi ya Wazimbabwe waliokufa wakipambana kumuondoa Mugabe kwa hali na mali, Upinzani umewahi kuwa mkali Zimbabwe mpaka ukaingizwa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa.Kwamba Zimbabwe ambao wanakimbia kwenda SA kukimbia ugumu wa maisha kwao wanawazidi wabongo sio? Nigeria ambayo wenyewe wanakubali kwamba they're fucked up bado wewe unapata nguvu ya kusema sio kondoo.Sitaki kusema Uganda maana huko pameoza
Mbona unawaaibisha "ndugu" zako mkuu? Hujui Wakenya wakilijua hilo wataishia kuwasimanga Watanzania?Tanzania ni nchi pekee mtu anamaliza darasaa saba na anafaulu kujiunga form 1 ila hajui kusoma. Hii nimethibitisha
Kaungane na hao wapoteza wame wenzako huko hukooo.Wewe unaogopa kupoteza mmeo tu