Kayaula Musa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 694
- 719
Utamsikia mtu ndoa zazamani zilikuwa bora yani mkuu acha tuSa aende wapi. Kote ndio hayo hayo.
Ni. Kwamba saivi kuna utandawazi tu watu tunajuana tunayofanyiana na wenza wetu.
Kama tungejua namna walivyoishi wazee wetu wengine kufikia mpk miaka 40 au 50 ya ndoa mpk mmoja anamzika mwenzie....haya yetu mbona mdogo sana tu.
Baba anajua kama analea wtt Sio wake ndani ya ndoa......lkn maisha yanasonga fresh... Anakwambia kitanda hakizai haramu.
Mkuu anything is possible in this dunia...watu tumeumbwa tofauti tofauti.
Kwann hamna imani yani unamfukuza mke kisa kachepuka acheni hizo ninauhakika hii sio chaiLingine yawezekana anatuchota tu. Kuna vitu katika ndoa havivumiliki,hapo kinacho vumilika hicho cha kuwekewa upupu kwenye maji. Ila mengine yanaweza kungia katika uliyo yadhania.
Wewe Mwanamke ?Kwann hamna imani yani unamfukuza mke kisa kachepuka acheni hizo ninauhakika hii sio chai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna bhana na mim nitateleza HP baadae yabid anivumilieKwamba ulifungiwa ndani kwa siku 6, kumfuma akifanya ngono na njemba, lakini bado kidume ukaona atabadilika na amebadilika kweli,duuuuuh humlii timing ya kumfanyia umafia huko mbeleni kweli mtoto wa watu??
maana sio kwa huruma hiyo aisee!!!
VIP na ww ukifumwa ?Hapo kwenye kumkutana ametanuliwa na njemba hapo hapo heri niendelee na hili life bila mke.
Mmoja kazalishwa na mchepuko wake?
Mwenzio anajisifu kwa uvumilivu wake umemsaidia. Kwakuwa ndoa yake sasa ina amani.Hapo kwenye kumkutana ametanuliwa na njemba hapo hapo heri niendelee na hili life bila mke.
Kama ana akili timamu inabidi aondoke.
Huo nao ni uvumilivu?Mwenzio anajisifu kwa uvumilivu wake umemsaidia. Kwakuwa ndoa yake sasa ina amani.
Wewe kichwa chako unakijua mwenyewe kilivyo
Huyo mwenzio hajafanya kosa moja la kuchepuka.Kwann hamna imani yani unamfukuza mke kisa kachepuka acheni hizo ninauhakika hii sio chai
MeWewe Mwanamke ?
Kama hujaoa kaoe kisha ujenge hoja juu ya hili jambo.
Mkuu kutofautiana mtizamo kusikufanye unione kama naonge nisiyoyajua mm namtetea jama kwawasioamini aliyopitia humndani kuna watu wao michango yao nikufurahisha kijiwe ila mm naongea vitu vyenye mifano hai lengo watu wajifunze tunaona wengi humu imani yao mwanamke akitoka nje ya ndoa hafai tena hii nimepitia vizuri ningum sana mkuu hata ningeiweka hapa kuna watu ambao hawako tayari kujifunza watatoa hoja nyepesi sana mazingira yalivokuwa watu walinicheka nikapima kuishi nawatoto bila mama nikaona ngumu nikaangali mazuri yake namabaya yake ikabidi nikubali kuwa mjinga nikose furaha ili watoto wafurahi kifupi maisha yangu yandoa kwasasa nimazuri nahatua kidogo nimepiga usiniulize kama hawezi kurudia ndoa ina miaka kumi natatuKama hujaoa kaoe kisha ujenge hoja juu ya hili jambo.
Hongera yako tupo wachache sana wa hiviiMkuu kutofautiana mtizamo kusikufanye unione kama naonge nisiyoyajua mm namtetea jama kwawasioamini aliyopitia humndani kuna watu wao michango yao nikufurahisha kijiwe ila mm naongea vitu vyenye mifano hai lengo watu wajifunze tunaona wengi humu imani yao mwanamke akitoka nje ya ndoa hafai tena hii nimepitia vizuri ningum sana mkuu hata ningeiweka hapa kuna watu ambao hawako tayari kujifunza watatoa hoja nyepesi sana mazingira yalivokuwa watu walinicheka nikapima kuishi nawatoto bila mama nikaona ngumu nikaangali mazuri yake namabaya yake ikabidi nikubali kuwa mjinga nikose furaha ili watoto wafurahi kifupi maisha yangu yandoa kwasasa nimazuri nahatua kidogo nimepiga usiniulize kama hawezi kurudia ndoa ina miaka kumi natatu
Somaga na comnt mkuuMmoja kazalishwa na mchepuko wake?
AsanteHongera