Kayaula Musa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 694
- 719
Utamsikia mtu ndoa zazamani zilikuwa bora yani mkuu acha tuSa aende wapi. Kote ndio hayo hayo.
Ni. Kwamba saivi kuna utandawazi tu watu tunajuana tunayofanyiana na wenza wetu.
Kama tungejua namna walivyoishi wazee wetu wengine kufikia mpk miaka 40 au 50 ya ndoa mpk mmoja anamzika mwenzie....haya yetu mbona mdogo sana tu.
Baba anajua kama analea wtt Sio wake ndani ya ndoa......lkn maisha yanasonga fresh... Anakwambia kitanda hakizai haramu.
Mkuu anything is possible in this dunia...watu tumeumbwa tofauti tofauti.