Nimetimiza miaka 10 ya ndoa toka nilipo oa nikiwa na miaka 19

Nimetimiza miaka 10 ya ndoa toka nilipo oa nikiwa na miaka 19

Sa aende wapi. Kote ndio hayo hayo.

Ni. Kwamba saivi kuna utandawazi tu watu tunajuana tunayofanyiana na wenza wetu.

Kama tungejua namna walivyoishi wazee wetu wengine kufikia mpk miaka 40 au 50 ya ndoa mpk mmoja anamzika mwenzie....haya yetu mbona mdogo sana tu.

Baba anajua kama analea wtt Sio wake ndani ya ndoa......lkn maisha yanasonga fresh... Anakwambia kitanda hakizai haramu.

Mkuu anything is possible in this dunia...watu tumeumbwa tofauti tofauti.
Utamsikia mtu ndoa zazamani zilikuwa bora yani mkuu acha tu
 
Lingine yawezekana anatuchota tu. Kuna vitu katika ndoa havivumiliki,hapo kinacho vumilika hicho cha kuwekewa upupu kwenye maji. Ila mengine yanaweza kungia katika uliyo yadhania.
Kwann hamna imani yani unamfukuza mke kisa kachepuka acheni hizo ninauhakika hii sio chai
 
Kwamba ulifungiwa ndani kwa siku 6, kumfuma akifanya ngono na njemba, lakini bado kidume ukaona atabadilika na amebadilika kweli,duuuuuh humlii timing ya kumfanyia umafia huko mbeleni kweli mtoto wa watu??

maana sio kwa huruma hiyo aisee!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna bhana na mim nitateleza HP baadae yabid anivumilie

Sent from my VFD 200 using JamiiForums mobile app
 
Kwann hamna imani yani unamfukuza mke kisa kachepuka acheni hizo ninauhakika hii sio chai
Huyo mwenzio hajafanya kosa moja la kuchepuka.

Vipi kuhusu kuwekewa Sumu (Akijipanga upya na kurudia tena zoezi lake la dozi ya Sumu?).
Halafu bora ukute tu meseji au usimuliwe tu kuwa mkeo alichepuka, mwenzio alikutwa Live bila chenga Njemba imemkunja na mkewe anagugumia kwa utamu. Aisee!
 
Kama hujaoa kaoe kisha ujenge hoja juu ya hili jambo.
Mkuu kutofautiana mtizamo kusikufanye unione kama naonge nisiyoyajua mm namtetea jama kwawasioamini aliyopitia humndani kuna watu wao michango yao nikufurahisha kijiwe ila mm naongea vitu vyenye mifano hai lengo watu wajifunze tunaona wengi humu imani yao mwanamke akitoka nje ya ndoa hafai tena hii nimepitia vizuri ningum sana mkuu hata ningeiweka hapa kuna watu ambao hawako tayari kujifunza watatoa hoja nyepesi sana mazingira yalivokuwa watu walinicheka nikapima kuishi nawatoto bila mama nikaona ngumu nikaangali mazuri yake namabaya yake ikabidi nikubali kuwa mjinga nikose furaha ili watoto wafurahi kifupi maisha yangu yandoa kwasasa nimazuri nahatua kidogo nimepiga usiniulize kama hawezi kurudia ndoa ina miaka kumi natatu
 
Daah huo upupu sasa mbona hatari sana [emoji23][emoji23]
 
Hongera yako tupo wachache sana wa hivii
 
Back
Top Bottom