Nimetimiza miaka 10 ya ndoa toka nilipo oa nikiwa na miaka 19

Yani uliwekewa upupu kwenye maji, ila bado umekaza? [emoji848][emoji848][emoji848]
Mkuu...wewe umeona hili la upupu ni kubwa kuliko la sumu?

Yote ni majanga, ila kitendo cha kwenda vichakani kutafuta upupu na kukuwekea kwenye maji, inataka moyo wa shaba
 
Yani uliwekewa upupu kwenye maji, ila bado umekaza? [emoji848][emoji848][emoji848]
Itakuwa huo Upupu ulifanya kazi si umeona kuwa alimufaniwa akiliwa na Njemba lakini hakumuacha huku hata dini zinatuambia ndio itaachishwa kwa uzinzi wa mwanamke.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vikojoleo havinuniani Mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: BAK
Itakuwa huo Upupu ulifanya kazi si umeona kuwa alimufaniwa akiliwa na Njemba lakini hakumuacha huku hata dini zinatuambia ndio itaachishwa kwa uzinzi wa mwanamke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kuna Mambo mawili inawezekana umeolewa au limbwata la kuzimu!!
Lingine yawezekana anatuchota tu. Kuna vitu katika ndoa havivumiliki,hapo kinacho vumilika hicho cha kuwekewa upupu kwenye maji. Ila mengine yanaweza kungia katika uliyo yadhania.
 
Ya kwangu miaka 9 inaenda kuvunjika mwezi ujao maana vikao vishaanza🙄🙄🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…