Dolla_Mbili
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,207
- 2,981
Kwenye maisha sio lazima uaminiwe na kila mtu mkuu,Kama huamini kalibu hom uje kufanya kautalii na kauchunguz gharama zmza kutoka uliipo na vyote zangu ili uje udhibitishe hapa maana hata nikikwambia vipi huezi amin kama upo Tayar njoo pm
Sasa Kama kaamua yeye mi nifanyaje??Kama men ukiamua hvy inavunjika
Sifa ya Uanaume inaanza kupotea taratibu Wajamenii......Tena live mkuu na sikumfanya chochote zaid ya mim mwenyewe kutokwa machozi
Hapana mkuu, anakero zakubomoa kila kituUmepigiwa nini mkuu
Tukuulize wewe hilo swali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] HV mkuu kunakuwaga na utaamu kwe eli [emoji125][emoji125][emoji125]
29 kwa wanaume wa Tanzania ya sasa ndo kwanza hajabalehe.wewe tayari unatarajia kuitwa grand.Aisee,u are so amazing!Hapana sijazeeka saiz nina29
Weka story nzima mkuu nasisis tujifunze kupitia kwakoLabda hatujaelewa ni hv hapa katk kuna mgogoro ulitokea ndipo mahakama ikaamua kutuchukua DNA
Wewe umefanya wangap na nn chaajabu hap[emoji123][emoji123][emoji123]So what?we unatombewa unaona poa tu kisa ndoa bwege wewe.
Ndoa mkuu mchumia juan............Hii ni ndoa au jehanam??
Kumfuma akifanya ngono? Na unae bado? Hii ngumu sana kwangu. Ndio kosa kubwa naweza fanyiwa na mke, afanye juu chini nisijue, nikijua basiHaikuwa kazi rahisi kufika hii miaka,
Ushauri wangu kwa vijana wenzangu maisha ya ndoa ni mazuri kama mnajitambua kuna vipindi vingi nimepitia.
Kama kutiliwa sumu kwenye chakula, kuwekewa maji upupu, kufungiwa ndani kwa siku 6, kumfuma akifanya ngono na njemba, lakini kidume bado ninae, nina mengi ya kusema ila nina kauvivu kakutyp.
Asanten
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji17][emoji17]Maji ya upupu? Hahahaha
Asante mkuuMkuu mimi nakupongeza sana, wewe ni JEMBE
Suala la kugongwa nafikiri kawa mjanja zaidi yako tu which is ok maana imekupa imani kabadilikaAsante mkuu kilichonitesa huruma na kusema IPO siku atabadilika ila Mungu ni mwema kabadilika saiz nafurahia ndoa yangu
Nashukuru kiongozKwenye maisha sio lazima uaminiwe na kila mtu mkuu,
Ila kama ni kweli mkuu hongera sana boss wangu umeonyesha uvumilivu wa kiwango cha juu[emoji41]
Hulia kuzimuNdoa mkuu mchumia juan............
Kama waitaj bado uwepo wake mbn simpo nikupe njiaSasa Kama kaamua yeye mi nifanyaje??
DuhTena live mkuu na sikumfanya chochote zaid ya mim mwenyewe kutokwa machozi
Unazani ningekaza saiz nazan ningekuwa jela unazan ningeweka hy story hapaSifa ya Uanaume inaanza kupotea taratibu Wajamenii......