Nimetimiza miaka 10 ya ndoa toka nilipo oa nikiwa na miaka 19

Hongera sana, ila hapo kwa kumfuma na njemba sio rahisi mwanaume aliekamilika akasamehe au kuvumilia
 
Duu atakuja kuutafutia watu wasio julikana au mahaba ni yaupande mmoja yawezekana wewe unamng'ang'ania yeye kakuchoka
 
Kama kutiliwa sumu kwenye chakula, kuwekewa maji upupu, kufungiwa ndani kwa siku 6, kumfuma akifanya ngono na njemba, lakini kidume bado ninae, nina mengi ya kusema ila nina kauvivu kakutyp.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]SIDHANI!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru kwa ujio ,wako kwenye uzi huu mjadala umeishia hapa[emoji124][emoji124][emoji124][emoji119]
 
Hongera mkuu Mimi pia nilipata kids mapema Sana ..nikiwa na miaka 21 nilipata mapacha ..saiv Nina 27 juzi nimepata mwingine wa kike ..japo tupo tofauti mkuu Mimi bado nakula mama zingine japo nampenda Sana mama watoto wangu maana yeye ndo kaniletea hao wote watatu ..ukicheki nafanana nao balaa ..namshukuru Mungu kwa uwepo wake maana yeye ndo focus yangu ..saiv nimemwacha huko Tz nipo huku Qatar Kuna mchongo napiga ..pambana mkuu usimwache mkeo eti kisa kaliwa na mabaharia, angalia watoto wako ndo wa muhimu zaidi maana kukosa mzazi mmoja no hatari Sana. Mfano Mimi niliishi na baba tu baada kutengana na mama, hivyo madhara ya kuishia na mzazi mmoja no makubwa Sana.

Hongera japo Mimi bado sijafunga hiyo ndoa..may be mwakani Mungu akitupa uzima.
 
Ivi mkuu huogopi kifo?? Mtu kakwambia anakuchukia, kakuwekea sumu, upupu bado umo tu daah. Kweli binadamu tumetofautiana sana yani mi nimkute mke analiwa na nimsamee iyo siwezi aisee, nitamdanganya kua nimemsamehe ila sitamuamini kamwe ko bora nimuache tu.
 
Wewe upo Qatar hujuu yanayotokea huku, hata huwezi kuumia kwasababu huyaoni huyu nduguyo ameshuhudia kabisaa. Aisee huyu jamaa ana roho ngumu idd amin akasome, ivi mkuu ndenjii handsome huwezi kuua mtu kweli wewe??
 
Mshana Jr huyu mke wake hakuja kilingeni kwako kupata dawa ya kumfunga huyu bwanamdogo kweli?? 😁😁
 
[emoji122][emoji122][emoji123][emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…