Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

Wewe ni shujaa. Bado hata katika kizazi ambacho maadili yamechafuka kiasi hicho bado wapo ambao ni waaminifu na wanaomcha Mungu. Usiogope kwa maneno ambayo huenda baadhi wameyatoa kwa kejeli na mifano ya kukudhalilisha. Mara zote waaminifu wanaosimama against the majority wanaonekana ni watu ant-social au kituko. Lakini mbele za Mungu wewe ni mtu wa thamani kuliko kijiji kizima cha watu wasiomtii Mungu
 
nyetooo tuu kama we n mwanaume rijali huwez kaa miaka yote hyo lbd mashart ya mganga auu
 
[emoji120][emoji120][emoji120]sie tunaona... Tendo hilo halijawa lazima kwa sasa. Ndio maana hatuna muda nalo mkuu.
 
Siku hizi mnaruhusiwa kutumia simu ukiwa jela?
Maana inaonekana ulihukumiwa miaka 30
 
Siku ukigegeda kazima upelekwe milembe mkuu. Wenda misuli yako ikasisimka kupita vipimo akajikuta chizi
Hahahahahaha huyo mwanamke atapata tabu siku hyo hyo anaweza pata mimba maana zitatokaaa kama bomba.
 
Mie nishawahi fikisha mwaka mmoja ni miezi sita mwezi February ndipo nilipo vunja huo mwiko na kurudi kwa kasi ila kilichonikuta cku ya April 7 acha tu npo kwny tafakari ya kufunga zipu zng baada ya kumaliza ili janga langu tarehe 5 Mei
tupe stori basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…