Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono


Mkuu kama mwaka huu utaila kabla ya ndoa, hautakua na tofauti na MILL8 ambaye hakujizuia.

Pia sijui umewaza kutupa ujumbe gani lakini taarifa yako haijitoshelezi.Hujaweka wazi umri wako na sababu za wewe kujizuia au kwanini mwaka huu ndio utoe kufuli.
 
Hongera kwa kujizuia. Hiyo ya mwez wa 8 inatoka wapi?
 
Yeyite amuangaliae mwanamke na kumtamani tayar amekwisha zini naye..sasa usije kua umezin kifikra
 
Kisa cha kukaa miaka yote hiyo!? Ulitaka kuwa padri Mkuu? Hata baadhi ya mapadri hawawezi kucheza mbali na utamu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Reactions: BAK
Mleta Mada kwanza Hongera Kwa kumtii Mungu!
Pili nakuuliza huo mwezi wa 8 unatarajia kuoa au kula papuchi kienyeji yaani Kwa kufanya zinaa?
Comments zingine zitafuata baada ya Jibu [emoji1312]
 
Nadhanii nyetoo imekuchoshaa ndo maana
 
Chaputa , au jini mahaba amehusika kwenye ufaulu wako miaka 9 bila sex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…