Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

Hongera sana ,tupe experience kidogo uliwezaje!maana wengine vilitushinda tukaona badala ya kuendelea kuwaka tamaa tumeamua kuoa sasa hivi ni raha mustarehe..
 
Mimi na miaka 20 sasa sijawai fanya hiko kitu zaidii ya kuotaa ndotonii
 
Back
Top Bottom