Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

Kisa cha kukaa miaka yote hiyo!? Ulitaka kuwa padri Mkuu? Hata baadhi ya mapadri hawawezi kucheza mbali na utamu.
nimecheka kama mazuri, eti kuwa mbali na utamu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hebu imagine ndo wewe sasa mda wote huo hujawahi fanya mapenz, ungejisikiaje? leo mwana jf mwenzenu natimiza miaka tisa bila zinaa, mwaka wa 2009 ndo ulikuwa mwaka wangu wa mwisho kufanya mapenz... ni miaka mingi sana kwa mwanadamu kutofanya mapenz wengi wenu mtanibeza wakati wengine hata wiki hamuwez jizuia, natumai
mwakaka huu mwez wa 8 ntaonja papuchi. mpaka sasa ninavyo andika sina dem wala mchumba naishi mwenyewe tu! japo swala la kujizuia si la kitoto ila nimeweza namshukulu mwenyez mungu kwa kunijalia uvumilivu.
Gombania uwenyekiti CHAPUTA
 
Papuchi utakayoonja mwezi wa nane sisi ndo tunaitafuna kwa mara ya mwisho alafu tunakupa pasi ya kisigino
 
Hahahahaha lol! Wengine huukimbia upadri ili wasiukose utamu na wengine hujificha sana lakini hawachezi mbali na utamu tena hata na wake za watu.
hahhahahaha mie sichemi kitu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hebu imagine ndo wewe sasa mda wote huo hujawahi fanya mapenz, ungejisikiaje? leo mwana jf mwenzenu natimiza miaka tisa bila zinaa, mwaka wa 2009 ndo ulikuwa mwaka wangu wa mwisho kufanya mapenz... ni miaka mingi sana kwa mwanadamu kutofanya mapenz wengi wenu mtanibeza wakati wengine hata wiki hamuwez jizuia, natumai
mwakaka huu mwez wa 8 ntaonja papuchi. mpaka sasa ninavyo andika sina dem wala mchumba naishi mwenyewe tu! japo swala la kujizuia si la kitoto ila nimeweza namshukulu mwenyez mungu kwa kunijalia uvumilivu.
Mmmmmh?.
 
Back
Top Bottom