Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

Pole ,unatakiwa uwahishwe hospitali ya vichaa maana una elements za uchizi Kwa mujibu wa utafiti na unatakiwa upimwe tezi dume haraka ili upewe matibabu kabla madhara hayajaongezeka
 
Hebu imagine ndo wewe sasa mda wote huo hujawahi fanya mapenz, ungejisikiaje? leo mwana jf mwenzenu natimiza miaka tisa bila zinaa, mwaka wa 2009 ndo ulikuwa mwaka wangu wa mwisho kufanya mapenz... ni miaka mingi sana kwa mwanadamu kutofanya mapenz wengi wenu mtanibeza wakati wengine hata wiki hamuwez jizuia, natumai
mwakaka huu mwez wa 8 ntaonja papuchi. mpaka sasa ninavyo andika sina dem wala mchumba naishi mwenyewe tu! japo swala la kujizuia si la kitoto ila nimeweza namshukulu mwenyez mungu kwa kunijalia uvumilivu.
Siku ukiamua uanze na wema sepetu, labda utatoboa
 
Dah....
Tohara ilivyonisababishia kilema
 
Back
Top Bottom