Nimetoa sharti la kupewa laki kila mwezi ....vinginevyo atambae

Wewe hakika ni muuza kitumbua,je Una risiti ya ki elekroniki (EFD) nije kununua?

Hiyo kwake nyingi kuna watu wana budget ya sh.2000 kwasiku sasa hiyo laki lazima iwe kubwa au huyo mme mtarajiwa anapokea laki 5 kwa mwezi lazima hiyo iwe nyingi sana tusimlaumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Labda umpate mshamba wa Kei, ila kama jamaa mzoefu huyo atakuaibisha mbaya!

Unadhalilisha wanawake wenzako.

I'm sure feminists wasingependa kuona hii kitu

Unauza bei gani waweke wazi wanunue

Maana wewe si mwanamke wa kuolewa kama una akili hizo na atakayekuoa jua hana ubongo ndani bali ndani ya fuvu la kichwa ana nyama za tikitimaji na mbegu zake. Upo kwa ajili ya pesa na si mstakabali wa kimahusiano.

Hivi nani ndani ya dunia hii anataka mwanamke mbinafsi kama wewe, ukiolewa na bwana akapatwa na tatizo kwenye ndoa si utamkimbia na ukitongozwa na mwenye nazo utagawa tu.

Au ndiyo saluni unayoitumia kutengeneza nywele unaowakuta hao wanakushauri hivyo?

Utapigwa na hata sent hutapata!
sisi ndio wanaume

Ila wanawake mnajishusha thamani sana. Kwamba laki kwa mwezi ndio inaendana na thamani yako.? Yani wewe pamoja na huyo jamaa wote mkapimwe mkojo. Si bure

Naona unajiuza bila shida kabisa.

Akili za usiku

Namwonea huruma aliekuzaa! Pole sana kwa kuwa na ubongo wenye vumbi

Salaamu wanaJF,

Jamani mimi umri umesonga sana, ndoa naihitaji lakini bado sijabahatika. Nimekuwa nikikumbana na changamoto ya kumegwa pasipo kuolewa. Kuna changamoto sana miaka hii kwa mwanamke kumtambua mwanaume muoaji na ambaye siye. Labda ngoja niwape kwa muhutasari tu yale nilyopitia mimi kwa wanaume 6 tofauti. Nini kilijiri?

Wa kwanza, nilikuwa bado mshamba saña. Nilidhani kila anaesema nakupenda anamaanisha.

Aliponitamkia nakupenda na kunipa ahadi ya ndoa mtoto wa kike nikajiachia. Kidume akamega mzigo mara kadhaa, kisha taratibu akaanza kunipotezea. Iliniumiza sana. Nikaahidi kutorudia.

Wa pili, alipojitokeza tu nikampa msimamo wangu na akakubali. Lakini kumbe kakubali mdomoni, akilini mwake anapanga kutafuta mbinu ya kunimega. Alionyesha upendo kwangu kwa vitendo na maneno. Alikuwa mwepesi wa kunitatulia matatizo yangu. Baada ya miezi kadhaa kupita jamaa akaomba mzigo nikamkumbusha msimamo wangu. Jamaa siku hiyo ndiyo akakata kabisa mahusiano. Nikawa nimepoteza mtu ambaye kiukweli alikuwa ana dalili zote za mume bora.

Lakini hofu ya kumegwa na kuachwa iliniponza.

Wa tatu, huyu naye nilimpa msimamo wangu. Akakubali kwa masharti kwamba yuko tayari kusubiri kumega hadi siku ya ndoa endapo tu nyapu iko bikra. Vinginevyo hapana. Duuh! Mdada wa watu nikajitathimini nikaona nyapu yangu hata nikiikamulia juisi ya ndimu lita nzima bikra feki haiwezi kujitengeneza.

Kwa sharti hilo na umri pía unazidi kusonga, nikaona nisijepoteza muoaji kwa misimamo yangu. Nikatoa ruksa. Jamaa akamega kwa miezi mitatu na nikawa nisha mtambulisha hata kwa dadangu lkn mwishowe akasepa. Alijifanya kahamishiwa mkoa mwingine kikazi kumbe wapi bwana.

Kishapata alichotaka.

Kwa kifupi jamani wanaume sita wamenimega kwa gia hii hii ya kuoa lakini naishia patupu. Nikikataa kutoa mzigo wanasepa na nikitoa mzigo wanamega na kusepa.

WanaJF mnipe maujanja, nifanyeje niipate ndoa. Japo mtu amege lakini aoe.

JF ni mtambo wa fikra huru. Jikite kwenye mada tafadhali.

Karibuni..

Yani kama bado una mawazo haya, endelea tu kupambana na hali yako aiseee

Demu wangu wa zamani ananishauri nioe beki 3 wake

Sent from my Phillips Savy

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…