Nimetoa sharti la kupewa laki kila mwezi ....vinginevyo atambae

Mie nimekuelewa vyema kabisa yaani unajiuza kwa usiku mmoja kwa laki moja,ngoja waje wanunuaji
 
Naona kama hilo shariti lako haliendani na hii season ya Mh John

ktk undani wa ndoa si pande moja kutunzwa bali ni vyema mkatunzana hapo hamta chokana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ni shoga.
shenzi kabisa...ulishasema umeolewa kanisani na mna watoto ukasema umebeba mimba ya mpaka kucha rangi.
ukaja na thread kua ww ni kidume sijui issue gani nimesahau..
leo wajifanya binti ..bad enough ni lidume kazi kutuaibisha kuvaa bikin kenge weweeee
Ukidanganya kua na kumbukumbu
[HASHTAG]#shoga[/HASHTAG]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubiria tu afungue thread isemayo "wanaume wote ni mbwa tu"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona hivyo itakuwa kimenuka. Asichezee wanaume sio mabwege bali huwa wana malengo yakitimia wanakata kamba wakijua wakibaki hawako salama. Wanaume hatupendi mke wa kunyanyua mabega bali mnyenyekevu atakula vya uvunguni. Mke akijua kuhandle mume anaufyata na kumheshimu na kumpenda maradufu.
 
[emoji230] [emoji90]

kesho yenye malengo ndio kesho yenye uhakika.
 
Subiria ugonge kwenye 35 hujaolewa akili ikukae sawa
 
You are so wise,nafikiri amekuelewa.
 
Ana bahati anaongea Ujinga huu zama hizi za kuishi kama Shetani, zile enzi za Neema (Nyakati za Mwinyi, Beni na Jk) nadhani wanaume, tena Matapeli tu au wapiga dili wangekuoa na kukutumia, kukuzalisha na kukutelekeza kwa huo mkataba wako wa laki kila mwezi....!! Una bahati mbaya kweli wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duhhhhh kweli duniani tuko tofauti sana .

Kila lakheri na mkakati wako.
Hopefully utafanikiwa.
Binafsi sikubaliani na wewe.
 
vi demu vya siku hiz taabu kweli kweli[emoji23],na hiyo 50/50 wanawake wanayoipigania na wewe upo?
 
Bora unajitambua dada tena ungebidi aongeze hata kwenye biblical kuna kaandika yanosema mwanaume atakula jasho lake and anatakiwa kumtunza mke na watoto. Wanaume wa siku hizi wanataka tegemea mwanamke afanye sawa na wao na ukifanya hayo wana dharau na Wa natafuta mchepuko nje wa kuhusu Mia . Nimeona wanawake wengi siku hizi wanaumia kwasababu ya kielele kutaka kujifanya na wao wanaume ndani ya nyumba na kulea familia halafu wanaume wenyewe hawana shukrani. Weka pesa yako ufanye vitu vya maana tena kisiri kisiri Kama kununua kiwanja etc for the future. Hawa wanaume ubadilika.]
 
Mkuu umefikiria kama Mimi. Yaani huyu anachukulia ndoa kama biashara na nina wasiwasi huko ndani mahusiano yao yatakuwa ya kibiashara zaidi kuliko mapenzi. Na aombe huyo mumewe asiwe jeuri maana akisema fyoko ataulizwa shida yako nini? Laki yako si umepewa? Hata kama ana mamilioni usimuulize wewe pambana na laki yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…