Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hakika abarikiwe ๐๐๐ maneno mazuri sana hayaTusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo
Wakatoliki wote jumlisha wamasai wote jumlisha kanda ya kaskazini wote jumlisha kanda ya ziwa yote jumlisha wafuasi wa marehemu Magufuli wote jumlisha mkoa wa Mbea kwa akina wakili mwakabusi na mdude nyagali hakika 2025 Saa 100 anarudishwa kwao Kimkazi na ndio mwisho wa Chama Cha Madalali (CCM).Wakatoliki tukijumulusha na wamasai wote upinzani uchaguzi watashinda 2025[emoji1787][emoji1787]
mkataba utapita tu kama lilivopita bunge haramu la magu, hii uwe chawa usiwe chawa ukweli ndo huu, watanzania(raia) sisi bado sanaMzee nawewe umefikia kuwa chawa? ๐
Kwamba kanisa katoliki huwa linatoa adhabu!!!?KENZY wewe sio mtoto ni mtu mzima pengine nawe ni mnufaika wa hili ama pengine si mnufaika,, nikwambie kitu,, Mama akiendelea kushupaza shingo juu ya huu mkataba ambao najua hata wewe unaona kabisa hauna maslahi yoyote kwa Taifa,, hakika ghadhabu ya Mungu itamshukia akingali hai,, huwezi kubishana na kanisa ukabaki salama sauti ya watu wa Mungu ni sauti ya Mungu,,
Tulieni nyinyiKENZY wewe sio mtoto ni mtu mzima pengine nawe ni mnufaika wa hili ama pengine si mnufaika,, nikwambie kitu,, Mama akiendelea kushupaza shingo juu ya huu mkataba ambao najua hata wewe unaona kabisa hauna maslahi yoyote kwa Taifa,, hakika ghadhabu ya Mungu itamshukia akingali hai,, huwezi kubishana na kanisa ukabaki salama sauti ya watu wa Mungu ni sauti ya Mungu,,
Mbunge mmoja wa CCM ameonekana Vatican akisalimiana na Papa wa Kanisa Katoliki la Roma,ni wazi kapeleka ujumbe kwa Papa wa Kanisa Katoliki la Roma kufuatia Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Roma Tanzania kupinga mkataba wa kuiuza bandari ya Dar es Salaam,na nguvu hiyo tayari Serikali imesitisha kukusanya maoni ya kuibadili sheria ya kulinda maliasili za Tanzania inayoitaka kesi ya Maliasili za Tanzania kusikilizwa hapa hapa Tanzania.
Kuna kitu kinaandaliwa. Baada ya watu wote kujua, kinachobaki ni kuingia road. Yaani itakuwa rahisi mnoUnafikiri mkisomewa ndo patabadili kitu...??
Ongeza na wasukumaWakatoliki tukijumulusha na wamasai wote upinzani uchaguzi watashinda 2025[emoji1787][emoji1787]
Ndio TEC inawaamusha watanzania hivyo๐ ๐จ๐ก๐๐จ ๐ง๐จ๐ฆ๐๐๐๐๐
๐ฎ๐ฌ๐ข๐ต๐ข๐ฃ๐ข ๐ฉ๐ถ๐ถ ๐ข๐ญ๐ช๐ถ๐ฌ๐ข๐ต๐ข๐ข ๐ฎ๐ข๐จ๐ถ๐ง๐ถ๐ญ๐ช ๐ฌ๐ธ๐ข๐ฏ๐ป๐ข ๐ข๐ฌ๐ข๐ด๐ฆ๐ฎ๐ข ๐ฌ๐ช๐ค๐ฉ๐ข๐ข ๐ฑ๐ฆ๐ฌ๐ฆ๐ฆ ๐ฏ๐ฅ๐ช๐ฆ ๐ข๐ฏ๐ข๐ฆ๐ธ๐ฆ๐ป๐ข ๐ฌ๐ถ๐ถ๐ฌ๐ถ๐ฃ๐ข๐ญ๐ช ๐ญ๐ข๐ฌ๐ช๐ฏ๐ช ๐ฎ๐ข๐ฎ๐ข ๐ฌ๐ข๐ถ๐ฌ๐ถ๐ฃ๐ข๐ญ๐ช
๐ฎ๐ฌ๐ข๐ต๐ข๐ฃ๐ข ๐ฉ๐ถ๐ถ ๐ถ๐ฎ๐ฆ๐ฑ๐ช๐ฏ๐จ๐ธ๐ข ๐ฏ๐ข ๐๐๐ (๐๐ข๐ฏ๐ป๐ข๐ฏ๐ช๐ข ๐ญ๐ข๐ธ ๐๐ฐ๐ค๐ช๐ฆ๐ต๐บ ๐ช๐ฏ๐ข ๐ฎ๐ฆ๐ฎ๐ฃ๐ฆ๐ณ ๐ฌ๐ข๐ณ๐ช๐ฃ๐ถ 7000) ๐ญ๐ข๐ฌ๐ช๐ฏ๐ช ๐ฎ๐ข๐ฎ๐ข ๐ด๐ข๐ฎ๐ช๐ข ๐บ๐ถ๐ฌ๐ฐ ๐ฌ๐ช๐ฎ๐บ๐ข ๐ฏ๐ข ๐ธ๐ข๐ต๐ข๐ฏ๐ป๐ข๐ฏ๐ช๐ข ๐ต๐ถ๐ฎ๐ฆ๐ฏ๐บ๐ข๐ฎ๐ข๐ป๐ข
๐ฎ๐ฌ๐ข๐ต๐ข๐ฃ๐ข ๐ถ๐ฎ๐ฆ๐ฑ๐ช๐ฏ๐จ๐ธ๐ข ๐ฏ๐ข ๐ธ๐ข๐ฏ๐ข๐ฉ๐ข๐ณ๐ข๐ฌ๐ข๐ต๐ช ๐ฏ๐ข ๐ฎ๐ข๐ธ๐ข๐ฌ๐ช๐ญ๐ช ๐ฌ๐ธ๐ข๐ฎ๐ฃ๐ข ๐ฏ๐ช ๐ฎ๐ฃ๐ฐ๐ท๐ถ ๐ฉ๐ข๐ถ๐ฏ๐ข ๐ฎ๐ข๐ด๐ญ๐ข๐ฉ๐ช ๐บ๐ฐ๐บ๐ฐ๐ต๐ฆ ๐ฏ๐ข ๐ท๐ช๐ฑ๐ฆ๐ฏ๐จ๐ฆ๐ญ๐ฆ ๐ฏ๐ช ๐ท๐ช๐ฃ๐ฐ๐ท๐ถ ๐ด๐ฆ๐ณ๐ช๐ฌ๐ข๐ญ๐ช ๐ช๐ฑ๐ฐ ๐ฌ๐ช๐ฎ๐บ๐ข
๐ธ๐ข๐ฏ๐ข๐ด๐ช๐ข๐ด๐ข ๐ธ๐ข๐ฎ๐ฆ๐ถ๐ฑ๐ช๐ฏ๐จ๐ข ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐ฌ๐ข๐ด๐ฐ๐ณ๐ฐ ๐ธ๐ข๐ฏ๐ข ๐๐๐ ๐ญ๐ข๐ฌ๐ช๐ฏ๐ช ๐ฃ๐ข๐ข๐ฅ๐ฉ๐ช ๐บ๐ข๐ฐ ๐ธ๐ข๐ฏ๐ข ๐๐๐ ๐ธ๐ข๐ฎ๐ฆ๐ถ๐ฑ๐ช๐ฏ๐จ๐ข
๐ฎ๐ข๐ข๐ด๐ฌ๐ฐ๐ง๐ถ ๐ฏ๐ข๐ฐ ๐ธ๐ข๐ฎ๐ฆ๐ถ๐ฑ๐ช๐ฏ๐จ๐ข ๐ฌ๐ธ๐ข ๐ฉ๐ฐ๐ซ๐ข ๐ฎ๐ข๐ข๐ฌ๐ถ๐ฎ๐ถ ๐ฏ๐ข ๐ฎ๐ฑ๐ฌ๐ข ๐ด๐ข๐ด๐ข ๐ฉ๐ข๐ธ๐ข๐ซ๐ข๐ซ๐ช๐ฃ๐ช๐ธ๐ข
๐ฎ๐ข๐ฎ๐ข ๐ข๐ฏ๐ข๐ด๐ฆ๐ฎ๐ข ๐ข๐ฏ๐ข๐ฌ๐ข๐ข ๐ฌ๐ช๐ฎ๐บ๐ข ๐ฏ๐ข ๐ข๐ต๐ข๐ฆ๐ฏ๐ฅ๐ฆ๐ญ๐ฆ๐ข ๐ฌ๐ถ๐ฌ๐ข๐ข ๐ฌ๐ช๐ฎ๐บ๐ข
๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐๐๐ฎ๐บ๐ธ๐ฒ ๐๐ฎ๐๐ฎ ๐๐ผ๐๐ฒ ๐๐๐ป๐ฎ๐ท๐ถ๐ผ๐ป๐ฒ๐ฎ
[emoji23][emoji23][emoji23] Nani alisema hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]Waliambiwa siku wakiapa washike vitambi vyao na sio bibilia. Laana hii
Watanzania Bwana,mimi nimewastukia sana,inawezekana hata hawajui wanachopigia makofi.Yaani Watanzania hawajitambui kabisa.Very sad.๐๐nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu wakapiga vigelegele,Salaam kwako wewe Saa100 uliyetufikisha hapa.
Hiyo TEC ni genge tu la wahuni wapigaji tushawazoea. Wamezoea kuiibia serikali kumpitia bandari, wameona hawataweza Tena kuiba ndio maana wanahangaika. Hao ni nyau tu hawana impact wawasomee hata majumbani mwenu. Wapumbavu tu waliozoea kuishi kwa njia haramu, serikali haitishwi ni hayo majoho yao wakivuka mstari wanapigwa hata marungu, sifa yao ni ulevi na uzinzi๐๐nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu wakapiga vigelegele,Salaam kwako wewe Saa100 uliyetufikisha hapa.
Nyie kweli mazuzu mnajitekenya mnaishia kucheka wenyewe.Mlitaka kubadili sheria ya maliasili baada ya kichapo cha waraka mmeufyata.Wabunge akili zimewarejea.
Mungu awe pamoja nanyi.. Nendeni kwa aman. ๐๐๐๐ค๐ค. Amina๐๐nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu wakapiga vigelegele,Salaam kwako wewe Saa100 uliyetufikisha hapa.
Kumbe nawe hazimoHili kanisa ninalielewa mno kwa sasa japo sio muumini wake.
Mungu awe pamoja na TANGANYIKA na WaTanganyika.
Naona matako yako.. Yamesha ingiliwa na funza tayariHiyo TEC ni genge tu la wahuni wapigaji tushawazoea. Wamezoea kuiibia serikali kumpitia bandari, wameona hawataweza Tena kuiba ndio maana wanahangaika. Hao ni nyau tu hawana impact wawasomee hata majumbani mwenu. Wapumbavu tu waliozoea kuishi kwa njia haramu, serikali haitishwi ni hayo majoho yao wakivuka mstari wanapigwa hata marungu, sifa yao ni ulevi na uzinzi
Safi SANA[emoji106][emoji106]nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu wakapiga vigelegele,Salaam kwako wewe Saa100 uliyetufikisha hapa.