Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana

Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana

Polisi nchi nzima wapo elfu 90
VP watatosha?
Waandamanaji watakua wangapi ndugu.... Tena nimegundua kitu kupitia hii mada.... Hamna mipango hamjui nani ataandamana nani hatoandamana watu mnabeba nchi nzima msijue kuna maeneo hata fm radio za tz hawazipati
 
Mkuu isitoe hukumu kwa kuangalia muda wa account,
Mimi ni raia wa kawaida na mdogo sana kwenye hili taifa, nachukizwa sana na wahuni wa 4-6,
Maana ni majitu yasiyo na huruma dhidi ya rasilimali za taifa na watu wake,
Wahuni wanaifisadi nchi hatari, na wasipodhibitiwa kama taifa baada ya uchaguzi 2025, tunaenda kuwa watumwa wa Waarabu, maana kila uwekezaji wanapewa wao,
Bunge linaenda kuwa na kijani kitupu tena, 4-6 wanaenda kusaini sheria mipya yenye kulinda uhuni wao.

Ulivoniuliza hili Swali imebidi niangalie account yako ni ya lini.
Imeundwa septemba 5, 2025, uchangiaji wako una pattern ya aina fulani very interesting.

Kuna mambo makuu mawili kukuhusu,.
1. Una kazi ya kukusanya taarifa/maoni na pengine kuwahusisha watu fulani na maandamano na matukio yatakayo ambatana na Maandamano, kama ni askari basi unahusisha tukio la mwendo kasi kama moja ya mipango ya kundi linaloratibu maandamano na mnataka kujua watu wanaoweza kuwa na uhusiano nao hapa mitandaoni.
2. Unataka matukio haya yatokee, ila bado huna uhakika utashirikiana na nani kufanikisha hilo.

Mwisho ni hivi wananchi wakitoka hakuna kitu watazuiwa kufanya
 
Democracy ina mipaka bro, yaani watu hawawezi kuachiwa wafanye vitu vya hovyo kujificha kwenye kichaka cha democracy, pesa ya umma inatumika kufanya maigizo
Ama unafuata democracy, ama hufuati.

Kama unafuata demokrasi, huna haki ya kuwanyima wengine nafasi ya kupiga kura.

Kama hufuati demokrasi, huna haki ya kulalamika CCM haikusikilizi.
 
Wazee wakuuza radi hivi hatuwezi kununua radi ikapiga vituo vyote vya polisi? Ili siku ya kutoka pasiwepo wakutuumiza
 
Waandamanaji watakua wangapi ndugu.... Tena nimegundua kitu kupitia hii mada.... Hamna mipango hamjui nani ataandamana nani hatoandamana watu mnabeba nchi nzima msijue kuna maeneo hata fm radio za tz hawazipati
Dom, dar, mwanza na Arusha tuu inatosha. Japo sio muumini kabisa wa mambo ya maandamano
 
Ama unafuata democracy, ama hufuati.

Kama unafuata demokrasi, huna haki ya kuwanyima wengine nafasi ya kupiga kura.

Kama hufuati demokrasi, huna haki ya kulalamika CCM haikusikilizi.
Kwamba waachwe wachezee pesa za umma kwa kivuli cha democracy?
 
Kwamba waachwe wachezee pesa za umma kwa kivuli cha democracy?
Democracy haikatazi kuchezea pesa za umma.

Inakataza kuchezea pesa za umma kama umma umekataa.

Kama hutaki democracy, huna sababu ya kuzuia watu kupiga kura. Si utafanya mambo yako bila kujali democracy, utapindua nchi. Sasa unajali nini kama watafanya uchaguzi wao wa kijinga?

Kama unataka democracy, ukiielewa, utajua kuwa democracy inaendana na haki za watu wasiokubaliana na wewe, kwamba wanaotaka kupiga kura na wao wana haki ya kupiga kura.

Kwa hivyo kama unapenda democracy unatakiwa kuwaachia watu wapige kura wanavyotaka. Na kama hupendi democracy hutakiwi kujali kama watu wanapiga kura au hawapigi kwa sababu wewe utafanya mambo yako bula kujali democracy.

Huelewi wapi?
 
Hizo njia nyingine nyingi za kupata haki unazozizungumzia hapa ni zipi ?​

Just to mention a few.

Unaweza kushawishi watu wasiende kwenye uchaguzi, na baada ya uchaguzi ukafanya maandamano mpaka serikali ikaanguka.

Unaweza kufanya mapinduzi ya nguvu.

Unaweza kushawishi wabunge wakamfanyia rais impeachment.

Unaweza kuhamasisha wananchi wasusie biashara na wafanyabiashara na makampuni yoyote yanayoshirikiana na wanasiasa usiokubaliana nao na vyama vyao. Mpaka serikali ikaanguka.

Sasa hivi nyie wanaharakati na wapinzani mmeshindwa hata kuhamasisha wananchi waisusie CRDB, benki inayotumiwa na watawala ambayo imewakosesha watu wengi sana haki ya kupata fedha zao timely. Wengi wamepoteza fedha zao bila maelezo mazuri.

Sijasikia mpinzani yeyote akishikia bango suala hili.

Kwa sababu upinzani wa Tanzania na wanaharakati wake hawako strategic. Mnaenda bila strategy.

Mmeshindwa kuifanyia boycott CRDB tu.

Hili mnalimudu kabisa halihitaji polisi, tume ya uchaguzi wala kuhesabu kura. Mnatoa fedha zenu tu. Hata hilo mmeshindwa.

Huko kwenye uchaguzi na kuitoa CCM bado hamjaweza kabisa hapa tunabishana kidhahania tu, abstract thoughts ambazo hata nikisema nendeni kafanyeni fujo zenu mzuie uchaguzi hamtaweza.

Mtapigwa na kuuawa tu.
 
Wewe tuache kama una ndugu yako kiongozi mshauri atoroke kabla ya hiyo tarehe 29 maana tunaanza na nyumba zao na familia zao na ndugu zao
 
Wewe tuache kama una ndugu yako kiongozi mshauri atoroke kabla ya hiyo tarehe 29 maana tunaanza na nyumba zao na familia zao na ndugu zao
Nimewaacha. Hapa tunafanya abstract discussion tu.

Kama mnaweza kufanya hivyo fanyeni halafu urudi hapa October 30 turejee kazi yenu.
 
Hakuna polisi anayeweza kupambana na wananchi wakiamua, duniani kote. Ndio maana viongozi duniani wanajitahidi kusimamia mambo yaende vizuri ili kupunguza kupambana na wananchi wengi kwa wakati mmoja na polisi wabaki wanapambana na wezi na majambazi ambao ni wachache katika jamii.
 
Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana.

Polisi wa Tanzania hawana utayari na hawatoshi kuzuia maandamano makubwa ya ghafla.

Sasa swali langu la msingi sana, ikitokea hawa Wananchi wakaamua kufanya fujo vituo vingi vya kupigia kura, ofisi za serikali kadri iwezekanavyo, italeta implication gani kwenye uchaguzi na maandamano?

Mada iko mezani kila mmoja aijidili kimkakati sana, aseme faida na hasara ya maoni yake.
Mura! Jaribu muone kama hatutawavunja vifundo, na kuwatengua nyongo.
 
Mimi naona maandamano yafanyike siku nyingine yoyote lakini si siku ya kupiga kura.

Maana hiyo siku kuna watu wengi watataka kutimiza haki yao ya kikatiba kupiga kura kiroho safi tu na kukawa na fujo wanaweza kudhurika.

Haki yako ya kufanya civil disobedience inaishia inapoanzia haki ya mtu mwingine ya kupiga kura.
Mbona ulikuwa na akili timamu ti, nini kimekupata.?!!
 
Mbona ulikuwa na akili timamu ti, nini kimekupata.?!!
Akili timamu ikoje, unaipimaje?

Nani kakupa wewe cheo cha kupima akili gani ni timamu na gani si timamu?

Una qualifications gani za kukuwezesha kusema hivyo?

Umeelewa hata hoja yangu ni ipi?

Unaelewa hapo ulichofanya ni ad hominem logical fallacy?

Unaelewa ad hominem ni nini?

Unaelewa logical fallacy ni nini?

Unaelewa ad hominem logical fallacy ni nini?
 
Back
Top Bottom