Mimi naona maandamano yafanyike siku nyingine yoyote lakini si siku ya kupiga kura.
Maana hiyo siku kuna watu wengi watataka kutimiza haki yao ya kikatiba kupiga kura kiroho safi tu na kukawa na fujo wanaweza kudhurika.
Haki yako ya kufanya civil disobedience inaishia inapoanzia haki ya mtu mwingine ya kupiga kura.
Mbona haki ya Mgonjwa kupumzika inaagizwa kuminyinywa siku hiyo kwamba lazima ashiriki!!! Haki ni kwa "wapanda basi tu ". Au aliyeagiza haki ya Mgonjwa iminywe sikumuelewa vizuri. Haki ni haki kikubwa inakidha viwango vya kisheria na ustaarabu.
Karibu kwa kuniparura! Najua hutaniacha salama
Hujaelewa somo.Hayo ndo maigizo sasa .... rai yangu wala sio sheria sioni maana ya kupiga kura sababu hapo ndo kiburi cha viongozi kilipo nguvu kubwa ,rasilimali kubwa imetumika kuonyesha kwamba hii njia ya uchaguzi ndo haki kumbe ni kiini macho haijaanza leo ,wala jana tena wanahadi kifungu chao kwamba raisi akichaguliwa na kutangazwa na tume matokeo hatapingwi siwezi shauri mtu aende akapige kura sababu hata hao kina madeleka,zito,moza bado ni viini macho .....katika hili tukubaliane kutokukubaliana hatuwezi fanana kimawazo
Acha kututisha nyuma ya keyboardKama huijui tz na idadi ya askari jaribu kufanya hilo mkuu
Huna haki ya kuwapangia watapiga kura lini.Watapiga kura na kutimiza haki yao yakifanyika marekebisho.
Halafu kiranga usijifanye km nchi hii huifahamu na aina ya viongozi wake.
Hivi unategemea uchaguzi ukipita kuna marekebisho yatafanyika? Ni mara ngapi wanakuja na danganya toto?
Mimi naona wote tukutane tar 29 kila mmoja apiganie anachokitaka, kwanza kuna vitu vingi vya kurekebisha. Kisha baada ya hapo tutajua.
Na hiyo siku imekaa vizuri wananchi wote kudai kile wanachokitaka, wanaotaka kupiga kura waende na wanaotaka mabadiliko waende..!!
Na wao kwanini walazimishe kujipigia kura bila kufanya marekebisho wanavyotaka wao?
Polisi nchi nzima wapo elfu 90Kama huijui tz na idadi ya askari jaribu kufanya hilo mkuu
Yote hayo nayajua na mimi si mwana CCM na nakubaliana nawe.Mimi mwana CCM lakini ccm kutekwa na kikundi cha wahuni hapana alafu wenye mamlaka ya mwisho na nchi ni wananchi so watakokua wengi ndo watashinda ccm wamekua na dharau sana kwa wananchi sio ccm wote kile kikundi cha wahuni unaona walivyo mwambia Maxmellody Mkurugenzi wa jamii foraham zile ni dharau kwa wananchi kwamba watapiga kelele wiki mbili watanyamaza acha wananchi waamue nini kwenye nchi yao ule mwavuli wa aman ya kulinda viongozi na mali zao umepitwa na wakati CCM. Wanaogopa badaliko ni wale walioshiba wananyonyaji lakini maskini haogopi mabadiliko by JK Nyerere
Watu wameandamana jana wamepiga polisi wameharibu basi la mwendokasi, bila hata kuomba ruhusa.Kila mtu anahaki lakn watu wengi tukiomba haki zetu atupewi .mfano maandamano ni haki ya kikatiba lakn atupewi lakn hao ccm kila kitu wanaruhusiwa kwa sababu wao wapo kwenye dola.
Jambo la msingi hapo ni siku hiyo kila mtu ambanie haki yake tu .wew ukiona busara kupiga kura kapige .
Mm nikiona ni haki yangu kuandamana nita andamana
Uchaguzi umenyima watu wengine haki gani?Huo uchaguzi wenyewe usha nyima watu wengine haki zao
Yale siyo maandamano zile ni asira za wananchi kwa sababu ya usumbufu wa usafiriWatu wameandamana jana wamepiga polisi wameharibu basi la mwendokasi, bila hata kuomba ruhusa.
Maandamano ni haki yako lakini huna haki ya kumzuia mwingine asipige kura, hiyo nayo ni haki
You are creating a false dichotomy that it is either you disrupt voting and get your rights or you don't and you don't get your rights.Kiranga sikiliza mazee.
Human rights are interdependent. They don't exist in isolation of one another. Violation of the right to life can have a repo effect or a negative domino on other basic rights such as right to vote and freedom of conscious.
We are going to demonstrate and protest First, to consolidate our basic right of Living as Descent Human Beings. Our sacred right which has currently been under vicious siege of this inept and corrupt regime.
And, Second we are going to protest because this inept and corrupt government has lost its legitimacy to foster a decent political process. People cannot participate in a sham political process and claim to have their political rights fulfilled by the very government they want to vote out.
Under current circumstances, those who'll go out to vote on 29th, October will be deemed complicit of CCM's crimes and will be surely be smitten. We find any fool trying to vote on that day, we'll know he's trying to sanitize this wicked government.
Such fools whose folly is so intentional can never find clemency, mercy or grace at the spree of my rage.
Wakiumizwa Wameyataka Wenyewe.
So what is your point?Yale siyo maandamano zile ni asira za wananchi kwa sababu ya usumbufu wa usafiri
Na wao pia hawana haki ya kutupangia lini tuandamane, wote TUSIPANGIANE..Huna haki ya kuwapangia watapiga kura lini.
This has nothing to do with nchi ilivyo na viongozi wake, that is a moot point, pointless.
This has to do with democracy, wengine wana haki kama wewe. Wewe huna udikteta wa kuwapangia wengine haki zao.
Ukitoka tarehe 29 kuandamana na kuvuruga uchaguzi utapigwa tu. Na itakuwa vigumu sana kukutetea kwamba wewe si mfanya vurugu uliyetaka kuharibu uchaguzi tu.
Mnawapa CCM sababu ya kuwapiga, kuwaua na kusema nyie ni watu mnaoleta vurugu kwenye uchaguzi baada ya kushindwa kuwashawishi watu wasipige kura.
uhakika ni kwamba, maandamano yakiwa nchi nzima askari watazidiwa muda mchache sana. Mara nyingi hubebwa kupelekwa sehemu iliyo na vurugu.Kama huijui tz na idadi ya askari jaribu kufanya hilo mkuu
Toka uandamane siku yoyote.Na wao pia hawana haki ya kutupangia lini tuandamane, wote TUSIPANGIANE..
Let it happenKwani kuna watu watatoka kwenda kupiga kura ?
Maana itakuwa hatari sana, kumjua aendae kupiga kula na aanenda kuandamana.. Watu wasipo kuwa makini anything can happen
Ok. Fanyeni tena kitu hicho Oct. 29.Jana tumefanya na hamna boya alietugusa polisi waoga sana wanaishia kupiga virisasi vyao yaani mwaka 2025 unamtisha mtu kumuua wamechelewa sana na inakula kwao