Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Tar 29 tumekuachia Luca wa kwako kiongozi 😹Mwisho wa wahuni ni tarehe 29 October 2025
Tar 29 tumekuachia Luca wa kwako kiongozi 😹Mwisho wa wahuni ni tarehe 29 October 2025
Yaani huyu jamaa anakusumbua kichwa? Huyo ni Kiongozi wa Ma "narcissit". Mtu kama huyu kuishi naye kwenye jamii ni tabu sana!Wewe mzee Umeanza tena porojo zako
Mbona haki ya Mgonjwa kupumzika inaagizwa kuminyinywa siku hiyo kwamba lazima ashiriki!!! Haki ni kwa "wapanda basi tu ". Au aliyeagiza haki ya Mgonjwa iminywe sikumuelewa vizuri. Haki ni haki kikubwa inakidha viwango vya kisheria na ustaarabu.Kwa nini mnataka kulazimisha watu wafanye mnavyotaka nyie?
Wanaume wa Arusha midebwedo ss hivi nao wanahitaji ukombozi..!!Sasa ule ule utani wa wanaume wa dar..rasmi nataka uzikwe...wamefikisha ujumbe kwa hawa watawala...dhihaka zote ziamie kwa wavuta bangi wa Arusha..ni kanda yangu ila wanachokifanya kwa sasa hata chizi hafanyi...kwel leo hii ndo wana Arusha wakuvalishwa mamiwani ya games kwel?nmesikitika sanaa
Hivi vitisho au hadaa zilishapita yaani ujaribu kujirusha juu ya ghorofa uone kama utavunjika au kufaHizi fujo na maandishi yawezekana yako orchestrated na 'vitengo' ili kuanza kuwabaini taratibu na mapema wahamasishaji wakuu wa wanachowaza kitatokea!!! Na wakisha wabaini kabla ya siku husika wafanye jambo!!! Hii Nawaza!
Pia uharibifu unaoratibiwa wa miundombinu mfano barabara Mtwara Dar na mingine...ni njia nyingine ya kuwezesha kuchomoa hela kwenye "kibubu" chetu. Hii Nawaza pia!
Be wise kipindi hiki....Fanya maamuzi ambayo hayatakuzulu na hayatazulu miundombinu yetu ambayo inatusaidia wote.
Asanteni kwa kunielewa.
Watapiga kura na kutimiza haki yao yakifanyika marekebisho.Ni kweli.
Lakini haki moja haitakiwi kuvunja haki nyingine.
Ukiwa na haki ya kupanda basi haina maana una haki ya kumkanyaga mtu mwingine aliyepanda basi.
Wewe unaweza kutimiza haki yako ya kupanda basi bila kumkanyaga mtu mwingine mwenye haki ya kupanda basi kama wewe.
Una haki ya kususia uchaguzi na kuandamana lakini huna haki ya kuvuruga uchaguzi na kumkataza mtu mwingine kushiriki uchaguzi kama yeye kaona anataka kutumia haki yake hiyo.
Kwa nini mnataka kulazimisha watu wafanye mnavyotaka nyie?
Una weza kutoka kweli kwenda roadWatapiga kura na kutimiza haki yao yakifanyika marekebisho.
Halafu kiranga usijifanye km nchi hii huifahamu na aina ya viongozi wake.
Hivi unategemea uchaguzi ukipita kuna marekebisho yatafanyika? Ni mara ngapi wanakuja na danganya toto?
Mimi naona wote tukutane tar 29 kila mmoja apiganie anachokitaka, kwanza kuna vitu vingi vya kurekebisha. Kisha baada ya hapo tutajua.
Na hiyo siku imekaa vizuri wananchi wote kudai kile wanachokitaka, wanaotaka kupiga kura waende na wanaotaka mabadiliko waende..!!
Na wao kwanini walazimishe kujipigia kura bila kufanya marekebisho wanavyotaka wao?
Unahisi mimi na wewe tuko sawa? 😹Una weza kutoka kweli kwenda road
🤣🤣🤣 sawa sikupingiUnahisi mimi na wewe tuko sawa? 😹
Wengine hatuhitaji kujimwambafai tulipitia wapi km wewe umepiga mgambo miezi 3 tayari kelele mingi humu jukwaani..!!
Uhuru wa kuwaza na kisha kutoa mawazo hayo hadharani ni Muhimu sana. Nakuhakikishia, wapo wanayoweza kujirusha kutoka ghorofani lenye flats 200 wakiwa na uhakika chini Kuna godoro lenye kimo cha MITA hamsini!! Ni uamuzi kukubali ama kukataa uwezekano huo.Hivi vitisho au hadaa zilishapita yaani ujaribu kujirusha juu ya ghorofa uone kama utavunjika au kufa
Nina support sana maandamano.Sasa kwa hapo anaye takiwa kuhukumiwa wakwanza ni anaye pokea order kwa sababu anafanya? Kazi ambayo ipo nje ya maadili yake na kiapo chake .
Wananchi tunatakiwa ku deal na hawa askari wa chini kwa sababu wengi wao wamejaa sifa . Mm nimesha ona watu wengi wanaingia kwenye mikono ya askari na kupigwa vibaya mno .siyo kwamba hawajafata maagizo lakn ni kwa sababu askari hao wanapenda sifa
Hiyo tarehe 29 October ukikamata askari kwenye anga zako maliza naye tu .kwa maana siyo mtu rafiki ata kidogo kwako .kwa walio pita kweny mikono ya askari hao watakuwa wananielewa hap.
Kwa uwezo wa mungu October tutashinda
Ukipigwa bomu usiwe mchoyo, sogea pembeni na mwenzako limpate 😃Mapambaaazukooo yanakujaaa nchiniiiii
Mabugati ya kina Abdul, Angela Kizigha na Lugumi yatajenga miundombinu mipya.Hizi fujo na maandishi yawezekana yako orchestrated na 'vitengo' ili kuanza kuwabaini taratibu na mapema wahamasishaji wakuu wa wanachowaza kitatokea!!! Na wakisha wabaini kabla ya siku husika wafanye jambo!!! Hii Nawaza!
Pia uharibifu unaoratibiwa wa miundombinu mfano barabara Mtwara Dar na mingine...ni njia nyingine ya kuwezesha kuchomoa hela kwenye "kibubu" chetu. Hii Nawaza pia!
Be wise kipindi hiki....Fanya maamuzi ambayo hayatakuzulu na hayatazulu miundombinu yetu ambayo inatusaidia wote.
Asanteni kwa kunielewa.
Hayo ndo maigizo sasa .... rai yangu wala sio sheria sioni maana ya kupiga kura sababu hapo ndo kiburi cha viongozi kilipo nguvu kubwa ,rasilimali kubwa imetumika kuonyesha kwamba hii njia ya uchaguzi ndo haki kumbe ni kiini macho haijaanza leo ,wala jana tena wanahadi kifungu chao kwamba raisi akichaguliwa na kutangazwa na tume matokeo hatapingwi siwezi shauri mtu aende akapige kura sababu hata hao kina madeleka,zito,moza bado ni viini macho .....katika hili tukubaliane kutokukubaliana hatuwezi fanana kimawazoPoint zako zinaonesha uchaguzi hauna haki sehemu nyingi, lakini hazi justify kuwanyima wanaotaka kushiriki kwenye uchaguzi haki hiyo ya kushiriki kwenye uchaguzi.
Kwa sababu kuna watu wanaamini licha ya matatizo yote, njia sahihi ya kuyamalizq matatizo ni kushiriki uchaguzi na kunyoosha mfumo kwa kuutumia mfumo huu huu, si kwa kuususia na kuuvuruga uchaguzi.
Ukiwanyima nafasi hiyo utaongeza tatizo. Two wrongs do not make a right.
Yani hutakiwi kusema "Hapa hamna haki sehemu nyingi sana, sasa na mini nawanyang'anya watu haki zaidi hata hii ndogo waliyo nayo".
Haki haijatimia ni kweli, na kwa kweli haki haiwezi kutimia hata siku moja, tunajitahidi tu kuitimiza, lakini na wewe huna haki ya kuwakataza wanaotaka kupiga kura wapige kura.
Ni haki yao kupiga kura bila bugudha, despite matatizo yote yanayoweza kuwapo katika mfumo.
Katika demokrasia unahitaji kuwashawishi watu wasipige kura, si kiwazuia watu wasipige kura.
Ukimnyima mtu haki yake ya kupiga kura, au kupigiwa kura, na wewe utakuwa umevunja hizo kanuni za haki zote ulizozitaja.
Utavunja 1 kwa ku impose unavyoona wewe kwao.
Utavunja 2. kwa ku impose unavyoona wewe kwao
Utavunja 3. kwa kuwaondolea nafasi ya kusikilizwa wanavyotaka.
Utawavunjia 4 kwa kutaka sauti ya upande wako tu isikilizwe.
Utavunja 5 kwa kuwanyima wananchi kuchagua wanachotaka na kuwa responsible kwa kitakachotokea regardless kizuri au kibaya.
Utavunja 6 kwa kuwakosesha haki ya kikatiba.
Utavunja 7 kwa kuwanyima watu fursa ya kupiga kura.
Matatizo yote uliyoyataja yanaweza kuwa addressed bila kuwanyima watu haki yao ya kupiga kura na kusema ama watu wasipige kura ama wapige kura tuendelee na matatizo haya ni false dichotomy fallacu, ni non sequitur fallacy, ni strawman argument fallacy.
Kwa sababu mnaweza kuwaachia watu wapige kura halafu mkaandamana mpaka mkaiangusha serikali kama kweli mna ushawishi.
Sio Rais Mwanamke na asiye na mizizi ya kisiasa. Shida iko kwenye utendaji wake mpaka sasa. Hakuna anachofanya zaidi tunaona ufisadi uliokithiri ukiendelea. Kila sehemu panahemea juu juu. Hana anachokiweza. Shida hapo si jinsia, uzoefu wala Uislam wake.Nilipost uzi wangu mmoja nikisisitiza Kuwa ni practically possible kufanya maandamano Tanzania baada ya kuona Askari wa JWTZ akijirekodi na kusema hamtaki Samia.
Mimi ni mwanamikakati, Tanzania kuna Risk ya machafuko kama Samia atakosa hekima kutaka kushikilia utawala wa Nchi.
Tanzania haikuwa tayari na Rais Mwanamke na asiye na mizizi ya kisiasa.
Fatilia kwa makini matukio yote yanayoendelea nchini
Namba ya Polisi ni ndogo mno ukilinganisha na idadi ya wananchi hapa nchini.Polisi wa Tanzania hawana utayari na hawatoshi kuzuia maandamano makubwa ya ghafla.
Sasa swali langu la msingi sana, ikitokea hawa Wananchi wakaamua kufanya fujo vituo vingi vya kupigia kura, ofisi za serikali kadri iwezekanavyo, italeta implication gani kwenye uchaguzi na maandamano?
Wananchi wagombee magari uchwara ya mwendokasi huku wao na watoto wao wanamejaza maBentley kwenye yards zao. Ndani ya Mwendokasi watu wamejazanaaa, bado hayafiki on time vituoni. Hovyo hovyo tu. Hela zote za kodi za hao wananchi wanagawana. Yani Samia amejua kutuonyesha rangi zake halisi.Wananchi wakiamua kwa umoja ,hakuna polisi atakayezuia ,viongozi na polisisiemu waache kuwachukulia poa wananchi wavuja jasho wanaoteseka ili wao walipwe mishahara na kutembelea vieiti na kujenga majumba mbweni ufukweni ,kuanzisha mabiashara ya mabilioni ya shilingi kwa rushwa.