Neutral Man ZT
JF-Expert Member
- Sep 5, 2025
- 501
- 990
Vipi ghafla Tume ya uchaguzi ikiamua kubadilisha tarehe ya uchaguzi badala ya October 29?Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana.
Polisi wa Tanzania hawana utayari na hawatoshi kuzuia maandamano makubwa ya ghafla.
Sasa swali langu la msingi sana, ikitokea hawa Wananchi wakaamua kufanya fujo vituo vingi vya kupigia kura, ofisi za serikali kadri iwezekanavyo, italeta implication gani kwenye uchaguzi na maandamano?
Mada iko mezani kila mmoja aijidili kimkakati sana, aseme faida na hasara ya maoni yake.
Je itabidi maandamano nayo tarehe ibadilike?