Waandamanaji watakua wangapi ndugu.... Tena nimegundua kitu kupitia hii mada.... Hamna mipango hamjui nani ataandamana nani hatoandamana watu mnabeba nchi nzima msijue kuna maeneo hata fm radio za tz hawazipatiPolisi nchi nzima wapo elfu 90
VP watatosha?
Ulivoniuliza hili Swali imebidi niangalie account yako ni ya lini.
Imeundwa septemba 5, 2025, uchangiaji wako una pattern ya aina fulani very interesting.
Kuna mambo makuu mawili kukuhusu,.
1. Una kazi ya kukusanya taarifa/maoni na pengine kuwahusisha watu fulani na maandamano na matukio yatakayo ambatana na Maandamano, kama ni askari basi unahusisha tukio la mwendo kasi kama moja ya mipango ya kundi linaloratibu maandamano na mnataka kujua watu wanaoweza kuwa na uhusiano nao hapa mitandaoni.
2. Unataka matukio haya yatokee, ila bado huna uhakika utashirikiana na nani kufanikisha hilo.
Mwisho ni hivi wananchi wakitoka hakuna kitu watazuiwa kufanya
Ama unafuata democracy, ama hufuati.Democracy ina mipaka bro, yaani watu hawawezi kuachiwa wafanye vitu vya hovyo kujificha kwenye kichaka cha democracy, pesa ya umma inatumika kufanya maigizo
Usitishe watu bhana, askari hawafikii ata nusu ya idadimya raiaJaribu mkuu hata usijali
Mgambo wao ni virungu tu😂😂😂Huenda atakuja na mgambo; sasa sijui kama mgambo nao siku hiyo watakuwa na mitutu ya bunduki!
Waandamanaji mko wangapiUsitishe watu bhana, askari hawafikii ata nusu ya idadimya rai
Dom, dar, mwanza na Arusha tuu inatosha. Japo sio muumini kabisa wa mambo ya maandamanoWaandamanaji watakua wangapi ndugu.... Tena nimegundua kitu kupitia hii mada.... Hamna mipango hamjui nani ataandamana nani hatoandamana watu mnabeba nchi nzima msijue kuna maeneo hata fm radio za tz hawazipati
Kwamba waachwe wachezee pesa za umma kwa kivuli cha democracy?Ama unafuata democracy, ama hufuati.
Kama unafuata demokrasi, huna haki ya kuwanyima wengine nafasi ya kupiga kura.
Kama hufuati demokrasi, huna haki ya kulalamika CCM haikusikilizi.
Democracy haikatazi kuchezea pesa za umma.Kwamba waachwe wachezee pesa za umma kwa kivuli cha democracy?
Hapana.
Na kuna njia nyingine nyingi za wewe kupata haki zako bila kuvuruga uchaguzi.
There is no dichotomy there.
Hizo njia nyingine nyingi za kupata haki unazozizungumzia hapa ni zipi ?
Wewe tuache kama una ndugu yako kiongozi mshauri atoroke kabla ya hiyo tarehe 29 maana tunaanza na nyumba zao na familia zao na ndugu zaoJust to mention a few.
Unaweza kushawishi watu wasiende kwenye uchaguzi, na baada ya uchaguzi ukafanya maandamano mpaka serikali ikaanguka.
Unaweza kufanya mapinduzi ya nguvu.
Unaweza kushawishi wabunge wakamfanyia rais impeachment.
Unaweza kuhamasisha wananchi wasusie biashara na wafanyabiashara na makampuni yoyote yanayoshirikiana na wanasiasa usiokubaliana nao na vyama vyao. Mpaka serikali ikaanguka.
Sasa hivi nyie wanaharakati na wapinzani mmeshindwa hata kuhamasisha wananchi waisusie CRDB, benki inayotumiwa na watawala ambayo imewakosesha watu wengi sana haki ya kupata fedha zao timely. Wengi wamepoteza fedha zao bila maelezo mazuri.
Sijasikia mpinzani yeyote akishikia bango suala hili.
Kwa sababu upinzani wa Tanzania na wanaharakati wake hawako strategic. Mnaenda bila strategy.
Mmeshindwa kuifanyia boycott CRDB tu.
Hili mnalimudu kabisa halihitaji polisi, tume ya uchaguzi wala kuhesabu kura. Mnatoa fedha zenu tu. Hata hilo mmeshindwa.
Huko kwenye uchaguzi na kuitoa CCM bado hamjaweza kabisa hapa tunabishana kidhahania tu, abstract thoughts ambazo hata nikisema nendeni kafanyeni fujo zenu mzuie uchaguzi hamtaweza.
Mtapigwa na kuuawa tu.
Nimewaacha. Hapa tunafanya abstract discussion tu.Wewe tuache kama una ndugu yako kiongozi mshauri atoroke kabla ya hiyo tarehe 29 maana tunaanza na nyumba zao na familia zao na ndugu zao
Wazee wa radiWazee wakuuza radi hivi hatuwezi kununua radi ikapiga vituo vyote vya polisi? Ili siku ya kutoka pasiwepo wakutuumiza
Mura! Jaribu muone kama hatutawavunja vifundo, na kuwatengua nyongo.Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana.
Polisi wa Tanzania hawana utayari na hawatoshi kuzuia maandamano makubwa ya ghafla.
Sasa swali langu la msingi sana, ikitokea hawa Wananchi wakaamua kufanya fujo vituo vingi vya kupigia kura, ofisi za serikali kadri iwezekanavyo, italeta implication gani kwenye uchaguzi na maandamano?
Mada iko mezani kila mmoja aijidili kimkakati sana, aseme faida na hasara ya maoni yake.
Mbona ulikuwa na akili timamu ti, nini kimekupata.?!!Mimi naona maandamano yafanyike siku nyingine yoyote lakini si siku ya kupiga kura.
Maana hiyo siku kuna watu wengi watataka kutimiza haki yao ya kikatiba kupiga kura kiroho safi tu na kukawa na fujo wanaweza kudhurika.
Haki yako ya kufanya civil disobedience inaishia inapoanzia haki ya mtu mwingine ya kupiga kura.
Akili timamu ikoje, unaipimaje?Mbona ulikuwa na akili timamu ti, nini kimekupata.?!!