Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,837
- 17,496
People don't always realize how both subjectively and emotionally we're.Unakubali kwamba watu wengine ambao wanaweza kuwa na mawazo tofauti na wewe na wao pia wana haki?
Au wewe tu na watu wanaofikiri kama wewe ndio mna haki?
King'ang'aWatawala wanaogopa kimoyomoyo huku kundi kubwa linamsubiri wa kulianzisha,yaani kama utani vile inaenda kutokea na polisi hawataweza
Kwa ushauri wangu mimi Samia mda bado upo wa kuliokoa Taifa watu wengi hawampendi
Ndiyo hata hapa naona a lot of contradictions kwa wanaharakati wanademokrasia wanaolazimisha maoni yao yafuatwe na watu wote.People don't always realize how both subjectively and emotionally we're.
We've a lot of alibi that try to rationalize our emotions how rational are
Kila mtu ana maumivu yake nchi hii. Ni wachache tu wakionesha uthubutu, Polisi wakiona watu wamekaza na hakuna CHAMA ndani yake nao watakaa pembeni.Nasikitika kukuambia wewe unaijua Tz ila hawajui Watanzania wakichoka.
Sasa internet ikizimwa izo taarifa za kula za kila kituo Tz nzima zitatumwa vp kwa tume ya uchaguzi?Internet huenda ikapigwa chini ikifika tarehe 20
Kumbe hujamsikia Samia; au ulipuuza kwa vile yeye kila jambo analizungumzia kama mipasho!Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana.
Polisi wa Tanzania hawana utayari na hawatoshi kuzuia maandamano makubwa ya ghafla.
Sasa swali langu la msingi sana, ikitokea hawa Wananchi wakaamua kufanya fujo vituo vingi vya kupigia kura, ofisi za serikali kadri iwezekanavyo, italeta implication gani kwenye uchaguzi na maandamano?
Mada iko mezani kila mmoja aijidili kimkakati sana, aseme faida na hasara ya maoni yake.
Wewe mzee Umeanza tena porojo zakoHaki moja inaishia haki nyingine inapoanzia.
Wanaoandamana wana haki ya civil disobedience, lakini haki hiyo ikianza kuingilia haki ya wengine kupiga na kupigiwa kura kunakuwa na conflict.
Ku resolve hiyo conflict maandamano yasifanyike siku ya kupiga kura.
Huu siyo ujinga; bali ni upumbavu.Maana hiyo siku kuna watu wengi watataka kutimiza haki yao ya kikatiba kupiga kura kiroho safi tu na kukawa na fujo wanaweza kudhurika.
Wewe bado unayo mategemeo ya kuendelea kutupiwa masalia na Samia? Hiyo mitano hapati hata atumie nguvu kiasi gani. Mshauri, anaweza kupoteza kila kitu akizidi kung'ang'ania. Elewa maana ya kila kitu.Tunaelekea huko kama nchi ila haitokua mwaka huu...... Ila ni mwanzo mzuri
Na kimsingi 2030 CCM HAITOFANYA KOSA TENA
Polisi na virungu, farasi, mbwa, maji washa huku kwetu, HAMNA KITU!Nimetoka kuangalia fujo za mwendo kasi, nimenotice kitu muhimu sana.
Polisi wa Tanzania hawana utayari na hawatoshi kuzuia maandamano makubwa ya ghafla.
Sasa swali langu la msingi sana, ikitokea hawa Wananchi wakaamua kufanya fujo vituo vingi vya kupigia kura, ofisi za serikali kadri iwezekanavyo, italeta implication gani kwenye uchaguzi na maandamano?
Mada iko mezani kila mmoja aijidili kimkakati sana, aseme faida na hasara ya maoni yake.
JPM ameweka standard ya juu sana kwa maraisi wajao, yoyote atakaye perform chini ya hapo, wananchi hawawez kumuelewa, ni either ulingane na ile standard yake au uizidi.
Naomba kujua kuna historia gani hapo nyuma inayoprove kauli yakoNasikitika kukuambia wewe unaijua Tz ila hawajui Watanzania wakichoka.
Nakuonea hurumakuwachanganya inatakiwa ifanyike Tarehe 28 maana polisi watakuwa wengi, tarehe 29 watashindwa jua wapiga kura ni kina nani na waandamanaji kina nani, vituo vya kupiga kura ni zaidi ya 10000, hakuna magari 10000 ya kulinda