Nimetoka kumzika rafiki yangu aliyefariki akiwa 33 years. Aisee, imeniuma sana

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Wakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years

Mwanzo sikuwa najua Kama mtu wa miaka 33 anaweza kufa Tena kwa sukari.

Aisee huu msiba umenipa fundisho kubwa

Naomba Kama una nafasi ya kumrudia Mungu mrudie fanya ibada za kweli.

Kama unaweza kusaidia watoto kwenye vituo vya watoto yatima saidia bila kuchoka.

Kifo hakina huruma, hakina rafiki, hakina adui, kifo kinakuja uwe umejiandaa au ujajiandaa.

Vijana tutubu dhambi tumrudie Mungu.
 
Kisukari (Diabetes Mellitus) ipo inayotokea kwa watoto kutokana na autoimmune reactions ambayo pia hujulikana kama Juvenile Diabetes Mellitus au Dm type 1.

Na ipo ile ya watu wazima ambayo inatokea kwa sababu kubwa ya life style Dm type 2.

Hii type 2 kupona unaweza ukapona au ikaenda mpaka type 1.

Type 1 anatumia insulin maisha yake yote mpaka anaingia kaburini.
 
Kisukari (Diabetes Mellitus) ipo inayotokea kwa watoto kutokana na autoimmune reactions ambayo pia hujulikana kama Juvenile Diabetes Mellitus au Dm type 1.

Na ipo ile ya watu wazima ambayo inatokea kwa sababu kubwa ya life style Dm type 2.

Hii type tu kupona unaweza ukapona au ikaenda mpaka type 1.

Type 1 anatumia insulin maisha yake yote mpaka anaingia kaburini.
kwani lifestyle kama ipi doctor?
 
Ni wito mzuri umehimiza wa kutubu dhambi lakini pamoja na hilo ni ku-change life style,tufanye mazoezi hata kutembea kwa miguu km tatu kwa siku inasaidia kuepusha mtu na maradhi haya yasiyoambukizwa.

Maisha ya sasa unakuta mtu kutwa nzima hajatembea hata hatua 300 jioni unamkuta yupo bar anakula bia na mkia au kiti moto nakwambia hatutoboi kwa mtindo huu wengi tutaishia njiani.
 
Mungu mnamsingizia bure tu.

Mungu hakuwa mjinga alivyomuumba Adam na kumpa bustani.

Maana yake mwili wa binadamu unapaswa kuwa unashughulishwa ili uweze kuepukana na maradhi yasiyoambukiza.

Sasa uamuzi ni wa mtu binafsi, kaa kizembe ufe kizembe, au kaa ngangari uweze kufika angalau 70.
 
Wakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years

Mwanzo sikuwa najua Kama mtu wa miaka 33 anaweza kufa Tena kwa sukari.

Aisee huu msiba umenipa fundisho kubwa

Naomba Kama una nafasi ya kumrudia Mungu mrudie fanya ibada za kweli.

Kama unaweza kusaidia watoto kwenye vituo vya watoto yatima saidia bila kuchoka.

Kifo hakina huruma, hakina rafiki, hakina adui, kifo kinakuja uwe umejiandaa au ujajiandaa.

Vijana tutubu dhambi tumrudie Mungu.
Pole..lakini mbona mmemzika usiku au mnataka aendako afike asubuhi
 
Wakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years

Mwanzo sikuwa najua Kama mtu wa miaka 33 anaweza kufa Tena kwa sukari.

Aisee huu msiba umenipa fundisho kubwa

Naomba Kama una nafasi ya kumrudia Mungu mrudie fanya ibada za kweli.

Kama unaweza kusaidia watoto kwenye vituo vya watoto yatima saidia bila kuchoka.

Kifo hakina huruma, hakina rafiki, hakina adui, kifo kinakuja uwe umejiandaa au ujajiandaa.

Vijana tutubu dhambi tumrudie Mungu.
Sukari ukichanganya na ngwengwe hataree kupona ni bahati
 
Back
Top Bottom