Nimetoka kumzika rafiki yangu aliyefariki akiwa 33 years. Aisee, imeniuma sana

Nimetoka kumzika rafiki yangu aliyefariki akiwa 33 years. Aisee, imeniuma sana

Kwamba ukisaidia watoto yatima ndo hufi?
Saidia unaowajua kwanza kabla hujaenda mbali
Unakuta una ndugu, jamaa, marafiki wana hali ngumu ila kujionesha bora kwa jamii waenda saidia wasiokujua ili tu ufurahishe genge
 
Maisha ya binadamu ni mafupi sana ishi kwa unyenyekevu na kufata sheria za asili ili ukifa isiwe sheree mie nashukuru maisha yangu ya duniani naepuka vishawishi ugomvi pombe na ulevi kuwa mvivu kiufupi sina dhambi
 
Back
Top Bottom