Nimetoka kumzika rafiki yangu aliyefariki akiwa 33 years. Aisee, imeniuma sana

Nimetoka kumzika rafiki yangu aliyefariki akiwa 33 years. Aisee, imeniuma sana

Wakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years

Mwanzo sikuwa najua Kama mtu wa miaka 33 anaweza kufa Tena kwa sukari.

Aisee huu msiba umenipa fundisho kubwa

Naomba Kama una nafasi ya kumrudia Mungu mrudie fanya ibada za kweli.

Kama unaweza kusaidia watoto kwenye vituo vya watoto yatima saidia bila kuchoka.

Kifo hakina huruma, hakina rafiki, hakina adui, kifo kinakuja uwe umejiandaa au ujajiandaa.

Vijana tutubu dhambi tumrudie Mungu.
Usiogope kufa, umulidie mungu usimludie mungu utakufa tu.

Na ukisha kufa utaoza na kuliwa na wadudu, story inaishia hapo
 
Vijana tutubu dhambi tumrudie Mungu.
Ebu ungefafanua kidogo wengine unapowaambia kafa kwa sukari wanajua ni ile wanachoichanganya kwenye chai hawajui km ni ma-juice yenye sukari nyingi ndio chanzo cha kukorofisha sukari mwilini insulin ikikorofika ndio issue inaanzia hapo, ungeeleza sukari ilizidi au ilipungua?
 
Ulaji mbovu wa vyakula vya mafuta, sukari, unene uliopitiliza , kutofanya mazoezi nk.

Hii inapelekea anapata insulin resistance, mwili unashindwa kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu.
Kuna watu nikiwaangalia tu hivi nasema huyu ni mgonjwa natamani kumwambia nenda hospital ukapime ini, figo, mapafu, moyo, bandama na utumbo mpana km umeziba maana mtu ana tambi km ana kilibatumbo sijui utapiamlo ila nashindwa
 
Wakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years

Mwanzo sikuwa najua Kama mtu wa miaka 33 anaweza kufa Tena kwa sukari.

Aisee huu msiba umenipa fundisho kubwa

Naomba Kama una nafasi ya kumrudia Mungu mrudie fanya ibada za kweli.

Kama unaweza kusaidia watoto kwenye vituo vya watoto yatima saidia bila kuchoka.

Kifo hakina huruma, hakina rafiki, hakina adui, kifo kinakuja uwe umejiandaa au ujajiandaa.

Vijana tutubu dhambi tumrudie Mungu.
Very sad bro nimetoka kuaga ndugu yangu 33 yrs chanika sababu sukari kuwa juu maisha yamebadilika sana jamani
 
Pole sana kwa kupoteza rafiki ,Can we please have a moment of silence?
 
Very sad bro nimetoka kuaga ndugu yangu 33 yrs chanika sababu sukari kuwa juu maisha yamebadilika sana jamani
Kwa hio sukari ikizidi hapo ni shida ila mgonjwa wa sukari si anatakiwa awe anakunywa vitu vya sukari sukari ili kushusha sukari bila hivyo sukari inapanda zaidi ndio inaleta shida au nimekosea?
 
Sasa si ungeshauri watu wawe makini na life styles zao! Ni kama unatuambia hakuna namna tukubali tu yaishe!

Hapa ndipo Janabi anajibebea alama 3 na mafundisho yake.

Obasanjo ana kisukari kwa miaka 40 sasa!

Usijifananishe wewe upo Itilima na Obasanjo. Huyo Mfalme wa uingereza anaishi na kansa. Mwenzio hatibiwi Mloganzila au Mwananyamala, anatibiwa hospitali za duniani. Unakuala mandazi na ugali msusa na kisukari; hukatizi mzee. Kuna mshua mmoja kwanza ilianza kula macho akawa haoni.
 
Itoshe kusema,Hujui chochote kuhusu kisukari.

Kisukari ndiyo ugonjwa ambao masikini ana nafasi kubwa ya kuishi nao muda mrefu kuliko hata tajiri.

Kisukari kinataka hiyo misusa zaidi wala siyo burger ndipo wanafeli wengi.

NB:Kansa inategemea ni ipi na imegundulika ikiwa stage gani,hata bongo watu kibao tu wamepona na wapo wanaishi nayo kutegemea na stage na aina.
 
Wakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years

Mwanzo sikuwa najua Kama mtu wa miaka 33 anaweza kufa Tena kwa sukari.

Aisee huu msiba umenipa fundisho kubwa

Naomba Kama una nafasi ya kumrudia Mungu mrudie fanya ibada za kweli.

Kama unaweza kusaidia watoto kwenye vituo vya watoto yatima saidia bila kuchoka.

Kifo hakina huruma, hakina rafiki, hakina adui, kifo kinakuja uwe umejiandaa au ujajiandaa.

Vijana tutubu dhambi tumrudie Mungu.
Acha uwoga kifo ni kifo na kifo ni kwa ajili ya viumbe hai including binadamu
 
Nyakati hizi vijana wanakufa sana kuliko wazee,tatizo ni nini?
Vijana tunajihusisha na mambo mengi sana kazi zote ngumungumu na zenye hatari!, mtu anajenga ghorofa ya ishirini huko na hajavaa vifaa vya usalama asipodondokewa na kitu basi vumbi linaweza mletea madhara!, starehe nazo zinatuangamiza pombe, ngono zembe zinamagonjwa, ugomvi usiokuwa na mantiki!.
Hali mbaya za maisha zinafanya watu wafanye mambo ya hatari pia.

Huko barabarani ndio usisema bodaboda, ubovu wa miundombinu pia husababisha ajali sio kila siku ajali zinasababishwa na kwenda kasi sana!, barabara pia ni mbovu unakuta muda mwengine wameweka kona kimakosa sehemu ambapo hakukustahili kona ama pia huwezi kumuona mtu anaekuja mbele yako!.
Machakula ya kiwandani mtu unajikuta unabugia kila siku, vidonge feki unafikiri utatokea wapi...?
Kufika 60 kwasasa ni sawa nakubeti tu.
 
Back
Top Bottom