technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Kisukari (Diabetes Mellitus) ipo inayotokea kwa watoto kutokana na autoimmune reactions ambayo pia hujulikana kama Juvenile Diabetes Mellitus au Dm type 1.Wakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years
Mwanzo sikuwa najua Kama mtu wa miaka 33 anaweza kufa Tena kwa sukari.
Aisee huu msiba umenipa fundisho kubwa
Naomba Kama una nafasi ya kumrudia Mungu mrudie fanya ibada za kweli.
Kama unaweza kusaidia watoto kwenye vituo vya watoto yatima saidia bila kuchoka.
Kifo hakina huruma, hakina rafiki, hakina adui, kifo kinakuja uwe umejiandaa au ujajiandaa.
Vijana tutubu dhambi tumrudie Mungu.
Amina!Ndio hata wa mwaka 1 anaeza kufariki kikubwa ni tuishi kwa kumpendeza Mungu
kwani lifestyle kama ipi doctor?Kisukari (Diabetes Mellitus) ipo inayotokea kwa watoto kutokana na autoimmune reactions ambayo pia hujulikana kama Juvenile Diabetes Mellitus au Dm type 1.
Na ipo ile ya watu wazima ambayo inatokea kwa sababu kubwa ya life style Dm type 2.
Hii type tu kupona unaweza ukapona au ikaenda mpaka type 1.
Type 1 anatumia insulin maisha yake yote mpaka anaingia kaburini.
Pole..lakini mbona mmemzika usiku au mnataka aendako afike asubuhiWakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years
Mwanzo sikuwa najua Kama mtu wa miaka 33 anaweza kufa Tena kwa sukari.
Aisee huu msiba umenipa fundisho kubwa
Naomba Kama una nafasi ya kumrudia Mungu mrudie fanya ibada za kweli.
Kama unaweza kusaidia watoto kwenye vituo vya watoto yatima saidia bila kuchoka.
Kifo hakina huruma, hakina rafiki, hakina adui, kifo kinakuja uwe umejiandaa au ujajiandaa.
Vijana tutubu dhambi tumrudie Mungu.
Ulaji mbovu wa vyakula vya mafuta, sukari, unene uliopitiliza , kutofanya mazoezi nk.kwani lifestyle kama ipi doctor?
Afya ni muhimu sana, nampango nikifisha age ya 30 ni mwendo wa chukuchuku. asante sana mkuu!Ulaji mbovu wa vyakula vya mafuta, sukari, unene uliopitiliza , kutofanya mazoezi nk.
Hii inapelekea anapata insulin resistance, mwili unashindwa kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu.
Sukari ukichanganya na ngwengwe hataree kupona ni bahatiWakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years