Usiogope kufa, umulidie mungu usimludie mungu utakufa tu.Wakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years
Mwanzo sikuwa najua Kama mtu wa miaka 33 anaweza kufa Tena kwa sukari.
Aisee huu msiba umenipa fundisho kubwa
Naomba Kama una nafasi ya kumrudia Mungu mrudie fanya ibada za kweli.
Kama unaweza kusaidia watoto kwenye vituo vya watoto yatima saidia bila kuchoka.
Kifo hakina huruma, hakina rafiki, hakina adui, kifo kinakuja uwe umejiandaa au ujajiandaa.
Vijana tutubu dhambi tumrudie Mungu.
na wengine waliuawa sana oct 29Vijana wanakufa sana
kwamba afya itakuwa inakusubiri tuAfya ni muhimu sana, nampango nikifisha age ya 30 ni mwendo wa chukuchuku. asante sana mkuu!
Sasa hivi nipo gen-z mambo mengkwamba afya itakuwa inakusubiri tu
Sukari ukichanganya na ngwengwe hataree kupona ni bahati
Ebu ungefafanua kidogo wengine unapowaambia kafa kwa sukari wanajua ni ile wanachoichanganya kwenye chai hawajui km ni ma-juice yenye sukari nyingi ndio chanzo cha kukorofisha sukari mwilini insulin ikikorofika ndio issue inaanzia hapo, ungeeleza sukari ilizidi au ilipungua?Vijana tutubu dhambi tumrudie Mungu.
Kuna Mzee kaishi na sukari tangu ana miaka 18 sasa hivi anaenda miaka 80 bado yupo tu anaishiSasa si ungeshauri watu wawe makini na life styles zao!
Obasanjo ana kisukari kwa miaka 40 sasa!
Kuna watu nikiwaangalia tu hivi nasema huyu ni mgonjwa natamani kumwambia nenda hospital ukapime ini, figo, mapafu, moyo, bandama na utumbo mpana km umeziba maana mtu ana tambi km ana kilibatumbo sijui utapiamlo ila nashindwaUlaji mbovu wa vyakula vya mafuta, sukari, unene uliopitiliza , kutofanya mazoezi nk.
Hii inapelekea anapata insulin resistance, mwili unashindwa kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu.
Wale waliokuwa wakikata watu viganja kisa wameenda kufanya takwa lao la kikatiba?na wengine waliuawa sana oct 29
Very sad bro nimetoka kuaga ndugu yangu 33 yrs chanika sababu sukari kuwa juu maisha yamebadilika sana jamaniWakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years
Mwanzo sikuwa najua Kama mtu wa miaka 33 anaweza kufa Tena kwa sukari.
Aisee huu msiba umenipa fundisho kubwa
Naomba Kama una nafasi ya kumrudia Mungu mrudie fanya ibada za kweli.
Kama unaweza kusaidia watoto kwenye vituo vya watoto yatima saidia bila kuchoka.
Kifo hakina huruma, hakina rafiki, hakina adui, kifo kinakuja uwe umejiandaa au ujajiandaa.
Vijana tutubu dhambi tumrudie Mungu.
Pole sana kwa kupoteza rafiki ,Can we please have a moment of silence?Wakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years
Mwanzo sikuwa najua Kama mtu wa miaka 33 anaweza kufa Tena kwa sukari.
Aisee huu msiba umenipa fundisho kubwa
Naomba Kama una nafasi ya kumrudia Mungu mrudie fanya ibada za kweli.
Kama unaweza kusaidia watoto kwenye vituo vya watoto yatima saidia bila kuchoka.
Kifo hakina huruma, hakina rafiki, hakina adui, kifo kinakuja uwe umejiandaa au ujajiandaa.
Vijana tutubu dhambi tumrudie Mungu.
Kwa hio sukari ikizidi hapo ni shida ila mgonjwa wa sukari si anatakiwa awe anakunywa vitu vya sukari sukari ili kushusha sukari bila hivyo sukari inapanda zaidi ndio inaleta shida au nimekosea?Very sad bro nimetoka kuaga ndugu yangu 33 yrs chanika sababu sukari kuwa juu maisha yamebadilika sana jamani
Sasa si ungeshauri watu wawe makini na life styles zao! Ni kama unatuambia hakuna namna tukubali tu yaishe!
Hapa ndipo Janabi anajibebea alama 3 na mafundisho yake.
Obasanjo ana kisukari kwa miaka 40 sasa!
kwani mtu akimuomba huyo Mungu ndio hafi au sijamuelewa mleta mada.Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana.
Kuna hawa athiest watakuja kukuuliza uwathibitishie huyo Mungu ni nani.
Kizazi cha laana hiki
RIP kwa rafiki yako. Dunia tunapita
Itoshe kusema,Hujui chochote kuhusu kisukari.Usijifananishe wewe upo Itilima na Obasanjo. Huyo Mfalme wa uingereza anaishi na kansa. Mwenzio hatibiwi Mloganzila au Mwananyamala, anatibiwa hospitali za duniani. Unakuala mandazi na ugali msusa na kisukari; hukatizi mzee. Kuna mshua mmoja kwanza ilianza kula macho akawa haoni.
Acha uwoga kifo ni kifo na kifo ni kwa ajili ya viumbe hai including binadamuWakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years
Mwanzo sikuwa najua Kama mtu wa miaka 33 anaweza kufa Tena kwa sukari.
Aisee huu msiba umenipa fundisho kubwa
Naomba Kama una nafasi ya kumrudia Mungu mrudie fanya ibada za kweli.
Kama unaweza kusaidia watoto kwenye vituo vya watoto yatima saidia bila kuchoka.
Kifo hakina huruma, hakina rafiki, hakina adui, kifo kinakuja uwe umejiandaa au ujajiandaa.
Vijana tutubu dhambi tumrudie Mungu.
Vijana tunajihusisha na mambo mengi sana kazi zote ngumungumu na zenye hatari!, mtu anajenga ghorofa ya ishirini huko na hajavaa vifaa vya usalama asipodondokewa na kitu basi vumbi linaweza mletea madhara!, starehe nazo zinatuangamiza pombe, ngono zembe zinamagonjwa, ugomvi usiokuwa na mantiki!.Nyakati hizi vijana wanakufa sana kuliko wazee,tatizo ni nini?