Nimetoka kumzika rafiki yangu aliyefariki akiwa 33 years. Aisee, imeniuma sana

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana.

Kuna hawa athiest watakuja kukuuliza uwathibitishie huyo Mungu ni nani.

Kizazi cha laana hiki

RIP kwa rafiki yako. Dunia tunapita
Atheist imekuwa ubishi na kizazi cha laana tena au sijaelewa, kifo hakichagui atheist au wafia dini, wote safari moja na hakuna anayejua kinachotokea baada ya kifo, wafia dini acheni kujipa umuhimu msiokuwa nao
 
Atheist imekuwa ubishi na kizazi cha laana tena au sijaelewa, kifo hakichagui atheist au wafia dini, wote safari moja na hakuna anayejua kinachotokea baada ya kifo, wafia dini acheni kujipa umuhimu msiokuwa nao
Kifo hakichagui atheist Wala mfia dini.
The same kwenye matatizo, hayachagui atheist au mfia dini.
 
Acha kumuhusisha mungu kwenye yasiyo muhusu,shauri watu kubadili mtindo wa maisha na vyakula, kumrudia mungu hakukufanyi usipate sukari kama bado utaendelea kula wanga mwingi na vinywaji vyenye sukari nyingi , kula vyakula vyenye mafuta mengi yasiyo eleweka kwa wingi na mazoezi hufanyi hata ukimrudia mungu kwa kulala kanisani kilasiku bado utaumwa sukari tu.
 
Utaushugulisha mwili ugongwe na Lori barabarani ufe.
Hakuna formula
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana.

Kuna hawa athiest watakuja kukuuliza uwathibitishie huyo Mungu ni nani.

Kizazi cha laana hiki

RIP kwa rafiki yako. Dunia tunapita
Sasa inahusiana vipi na mada ? Watu wanakufa kila siku, ndugu jamaa , rafiki zetu ,watoto na wazazi wetu wametutoka

Unapotoa mada toa na uthibitisho jf sio kanisani wala msikitini kila mtu aamini unacho kiamini eti kisa tu watu wanakufa.
 
Unaeza kuwa mfanya mazoezi ukafa Kwa Ajali hayo mambo muachie MUNGU tu kaka
 
Kwa sasa badili mtazamo, uwe unasikitika MTU akizaliwa maana lazima atakufa tuu.
 
wazazi wengi wa tanzagiza sababu ya ubinasfi na umimi, wanapenda watoto wafe kwanza kabla yao i.e wanapenda kuzika watoto wao, kinyume na mafundisho ya Christianity, kwa Christians hakuna kitu kinauma kama mzazi kuzika mtoto wake kwani inapaswa kuwa kinyume chake mtoto ndiye anayewasindikiza wazazi.

rip ...
 
Wale waliokuwa wakikata watu viganja kisa wameenda kufanya takwa lao la kikatiba?
Wale waliokuwa wakipora silaha na kuua polisi?
Ni wale waharibifu wa miundombinu ya umma ?
Au vijana wengine?
Shekhe Majini mlimuuwa akiwa nyumbani kwake, je alikuwa amekata viganja vya watu? Alichoma miundombinu? Aliiba?

Acheni uzushi, uongo, propaganda na utetezi wa wauaji wa kimbari.
 
Mkuu kumbe upande huu pia uko vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…