Hiyo 0.1% probability.Unaeza kuwa mfanya mazoezi ukafa Kwa Ajali hayo mambo muachie MUNGU tu kaka
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uhakika.Mkuu kumbe upande huu pia uko vizuri
Unene uliopitiliza ni risk factor ya magonjwa mengi yasioambukiza.Kuna watu nikiwaangalia tu hivi nasema huyu ni mgonjwa natamani kumwambia nenda hospital ukapime ini, figo, mapafu, moyo, bandama na utumbo mpana km umeziba maana mtu ana tambi km ana kilibatumbo sijui utapiamlo ila nashindwa