Nimetoka kusifiwa natembea kama mwanajeshi, nimefurahi sana

Sina tatizo na mwendo wako wa kikakamavu.
Najiuliza huyo Mzee aliyekusifia.Kiingereza chake kimenipa mashaka kwamba hilo tukio ni chai ya rangi.
 
Vp una pesa za kutosha?
 
Aiseeeeh! Na mimi nitatembea kwa kukakamaa ila hii kitambi na ufupi sijui watasema mwanajeshi wa wapi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…