kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,355
- 793
Jaman harufu ya mipira ile ni ngumu kutoka mikononi, nimetoka kugegeda mchepuko nahisi kabisa wife kanistukia coz kaanza kuninusa mikono kisha kanuna cjui kwa sababu hyo au cjui kwa sababu nimechelewa kurudi na kuoga nilioga vzuri kabisa jaman nifanyeje ni save kwenye huu msala