Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,516
- 9,809
Jaman harufu ya mipira ile ni ngumu kutoka mikononi, nimetoka kugegeda mchepuko nahisi kabisa wife kanistukia coz kaanza kuninusa mikono kisha kanuna cjui kwa sababu hyo au cjui kwa sababu nimechelewa kurudi na kuoga nilioga vzuri kabisa jaman nifanyeje ni save kwenye huu msala
Acha kutumia kondom za bei rahisi utanuka kila ukifanya hafu nikufundishe kitu, ili mkeo asijue uwe unaenda na lotion au pafyumu ukimaliza unajipulizia hukohuko ukirudi home mambo safi