Nimetoka kwa mchepuko nahisi kanishtukia

Nimetoka kwa mchepuko nahisi kanishtukia

mmmhhhhhh kweli mnatutisha sana ambao hatujaingia kwenye ndoa na hizi habari zenu za kipuuzi

lin follow your instinct,heart,will and power within have a nice guy all is cool in there
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: lin
We div 5 wa mwisho, unaleta mada ya kipumbavu ili tukufanyie nini? kama unaona ni ujanja kuandika neno mchepuko hapa jf ili uonekane na wewe upo utuambie na jinsi unavyoinamishwaga ukutani na wanaume wenzio.
Pumbaaaff kabisa we.
 
Last edited by a moderator:
Ahhh mtAnzania uyoo,,,,viongozi wetu wana kazi kwa kweli kuongoza watu Kama wewe
 
dawa hapo ni kupiga mzigo alafu ajifanyishe cha kwanza kile cha kiherehere kimetoka kumbe ndiyo anaanza mkewe leo amfanyie vurugu kama demu aliyemsubiria mda mrefu ,.......
mpaka wife ashangae ...ningekuwa mwanaume nishaomba gsmr mda mrefu sa hizi namalizia tu nilete ripoti jf

Si mpaka awe na nguvu hiyo!! Tena kwenye mechi ndo kabisa atakamatwa live bila chenga.
 
Shame on ua face na kibamia chako una ndoa bado unachepuka ngoja siku ukamatwe ushikishwe ukute na wanaume wenzio huna haya wewe
 
Mchukue mkeo mpeleke chumbani mpe penzi la uhakika kama vile ndio mumekutana leo........ila ukisave leo nakushauri usirudie tena.

Yan mdau siwezi coz nguvu zote nimemalizia huko isitoshe huo mchepuko ndo kwanza leo kanitunuku baada ya kusota takribani siku 417.3 aisee hata ungekuwa ww, yani kala kama pawasa ndani ya masaa 6 mpaka nikajishangaa nilikotoa hzo nguvu aisee
 
mtie wife mpaka aseme poooo... hapo utasave usipo kula mzigo leo unalo ...... unatianaje na mchepuko huna sabauni ya home kuosha mikono..... mke wako kama panya ananus nusa tu,,,, hakikisha unampa dozi matata

Sina nguvu zimeisha zote manka
 
Yan mdau siwezi coz nguvu zote nimemalizia huko isitoshe huo mchepuko ndo kwanza leo kanitunuku baada ya kusota takribani siku 417.3 aisee hata ungekuwa ww, yani kala kama pawasa ndani ya masaa 6 mpaka nikajishangaa nilikotoa hzo nguvu aisee
chukua panadol meza tu aisee ujifanyeunaumwa
 
Tuseme na wewe unasapoti habari za michepuko?
Wewe ni mchepuko wa mtu ama mke wa mtu?
ha ha ha acha kumtisha mwenzio bwana utakuta wifu anabana mapaja kama ana miaka 12 sasa jamaa afanyaje sasa......? apige kazi tu leo usiku kesho akiamka akasinzie ofisini kwa sababu leo mpaka kiuno kiende upande ... kudadadeki ingekuwa mimi niwife wake naanzisha mtanange hapo hapo nataka game asiponipa nmpeleka kwa mchungaji kesho asubuhi hata kazini siendi,,....
 
Back
Top Bottom