Wewe hujawahi kuchepuka?Rudi ulikotoka! ! Upuuzi mtupu unatuletea hapa.
Kibonde ana kazi sana!Jaman harufu ya mipira ile ni ngumu kutoka mikononi, nimetoka kugegeda mchepuko nahisi kabisa wife kanistukia coz kaanza kuninusa mikono kisha kanuna cjui kwa sababu hyo au cjui kwa sababu nimechelewa kurudi na kuoga nilioga vzuri kabisa jaman nifanyeje ni save kwenye huu msala
huu usemi hauko valid. watu wanatenda and they go away with that.
Mtenda hutendewa
Muda wake pia utafika kweli wa kutendwa
Wazoefu wa kuchepuka utawajua tu,siajabu ke/me wako anasoma hp ila kwakuwa tunatumia ID fake basi mtu unajiachia tu.
Eeh.... Sasa nawe kajaribu uje utoe mrejesho
Leo itapita, vya kuiba vinawanogea wanarudia tena
nimemmis CL wangu, ndo nimefika mwanza, kesho lazima nikamuoneHahahahahaa... tulizana na charminglady wako mwaya
Jaman harufu ya mipira ile ni ngumu kutoka mikononi, nimetoka kugegeda mchepuko nahisi kabisa wife kanistukia coz kaanza kuninusa mikono kisha kanuna cjui kwa sababu hyo au cjui kwa sababu nimechelewa kurudi na kuoga nilioga vzuri kabisa jaman nifanyeje ni save kwenye huu msala
ha ha ha acha kumtisha mwenzio bwana utakuta wifu anabana mapaja kama ana miaka 12 sasa jamaa afanyaje sasa......? apige kazi tu leo usiku kesho akiamka akasinzie ofisini kwa sababu leo mpaka kiuno kiende upande ... kudadadeki ingekuwa mimi niwife wake naanzisha mtanange hapo hapo nataka game asiponipa nmpeleka kwa mchungaji kesho asubuhi hata kazini siendi,,....
Ushauri huu nimeupenda.
hunitakii mema wewe