Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,516
- 9,809
Jaman harufu ya mipira ile ni ngumu kutoka mikononi, nimetoka kugegeda mchepuko nahisi kabisa wife kanistukia coz kaanza kuninusa mikono kisha kanuna cjui kwa sababu hyo au cjui kwa sababu nimechelewa kurudi na kuoga nilioga vzuri kabisa jaman nifanyeje ni save kwenye huu msala
Kwahiyo hata zinaa nayo ni mapenzi? kweli div 5 zipo nyingi.
Mdau joka sasa hv ni la kibisa limetambaa tu paja la kulia boxern acha nivute kasi kama vp nagonga nyagi mixer embassy kitu mnara dadadeki nalianzisha tena na huku mpaka nikojoe kimiminika chekundu
ntaitumia iki regain nguvu sio imepoa kama mchicha unaozwa sa saba mchana...
hivi kwanini watu humu JF wanaona ni sawa kabisa kupata ushauri wa kufunika makosa.... huu ni ujinga tunalea... ushauri ni kumpenda mkeo na kuachana na michepuko.... najua ni ngumu ila jitahidi kuishinda hali ya kuchepuka
dawa hapo ni kupiga mzigo alafu ajifanyishe cha kwanza kile cha kiherehere kimetoka kumbe ndiyo anaanza mkewe leo amfanyie vurugu kama demu aliyemsubiria mda mrefu ,.......
mpaka wife ashangae ...ningekuwa mwanaume nishaomba gsmr mda mrefu sa hizi namalizia tu nilete ripoti jf
Badili jinsia ufanye hayo mambo kama rahisi. Unaweza tamani umgaragaze zaidi ya mchepuko ukakuta ndo kwaaanza fc jogoo kalala
Ha.ha ha ha mkuu siwez jamani duh
Acha kutumia kondom za bei rahisi utanuka kila ukifanya hafu nikufundishe kitu, ili mkeo asijue uwe unaenda na lotion au pafyumu ukimaliza unajipulizia hukohuko ukirudi home mambo safi
Yan mdau siwezi coz nguvu zote nimemalizia huko isitoshe huo mchepuko ndo kwanza leo kanitunuku baada ya kusota takribani siku 417.3 aisee hata ungekuwa ww, yani kala kama pawasa ndani ya masaa 6 mpaka nikajishangaa nilikotoa hzo nguvu aisee
Jaman harufu ya mipira ile ni ngumu kutoka mikononi, nimetoka kugegeda mchepuko nahisi kabisa wife kanistukia coz kaanza kuninusa mikono kisha kanuna cjui kwa sababu hyo au cjui kwa sababu nimechelewa kurudi na kuoga nilioga vzuri kabisa jaman nifanyeje ni save kwenye huu msala
Mtenda hutendewa
Si mpaka awe na hiyo nguvu na michepuko inavyojua kukamua usikute jamaa kabakisha hewa tu kwenye kibubu.Mchukue mkeo mpeleke chumbani mpe penzi la uhakika kama vile ndio mumekutana leo........ila ukisave leo nakushauri usirudie tena.