Nimetoka kwa mchepuko nahisi kanishtukia

Kibonde ana kazi sana!
Ulibaki na harufu ya ndizi, strawberry au chungwa? Salama scented/studded hazina adabu kabisa.
 
huu usemi hauko valid. watu wanatenda and they go away with that.

Eeh.... Sasa nawe kajaribu uje utoe mrejesho

Leo itapita, vya kuiba vinawanogea wanarudia tena
 
Umepata na muda wa kupost JF huku umeshitukiwa

Hizi dhambi jamani unajishitukia mwenyewe
 
Wazoefu wa kuchepuka utawajua tu,siajabu ke/me wako anasoma hp ila kwakuwa tunatumia ID fake basi mtu unajiachia tu.

Kwa taarifa yako mkeo akigundua unakamchepuko lazima azidishe upendo na hata ukiwa na msichana akaona sms za mapenzi umetumiwa na msichana mwingine lazima kawivu kazidi hafu akupende zaidina azidishe manjonjo ili usiwe unatamani kwingine
 
wenzako hawatumii sababu zina harufu, ushalikoroga, omba mungu usilazimishwe kupewa k, utakamatika kirahisi sana
 

Mwambie wife unajari ndiyo maana unanuka harufu ya condom.
 
Mwambie wife unajari ndiyo maana unanuka harufu ya condom.

Kweli aisee ila huo ujasiri sina coz huyu mama ni mkorofi asije akateketeza familia mdau
 

Ushauri huu nimeupenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…