Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

Status
Not open for further replies.
We hujapita Tz...... Tukia wenye kujua wakupe mambo
 
Kaka Mimi nili koma Kigali.Nimeishi huko maeneo ya mulindi ili nilazimu kupata mchepuko.maana kila nnae muona nimkali zaidi ya yule.sasa walipo gundua Mimi mbongo ilikua shidaa!
 
Shida ipi Mkuu!?

Nimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
Kwa hiyo Bongo tupo 'me pekee? Mbona wengine wanavaa sketi, gauni, mibato, vimini, nk na wana hips, sura nzuri, ngozi nyororo, sauti za kumtoa nyoka kunako, macho rembevu, matako makubwa na nyonyo kifuani? Au unataka kutuaminisha kuwa ndio wale "wanaolelewa"? Nope, dume ni dume tu!
 
Nimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
Kuwa tu careful maana ngoma nje nje
 
Nimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
Beauty is in the eye of the beholder. Watu mbalimbali wana mawazo au mitazamo tofauti kuhusu ni nini au nani mzuri.
 
Nimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
Mpuuzi wewe. Kwahiyo mama ako ni mwanaume

Topic zingine bwana
 
Nimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
Wewe,wale ni wamasai walioweka lubega na vibuyu pembeni, alafu wakavaa kawaida,tafuta binti wa kimasai umbadirishe,, alafu nenda naye kwenu, lazima umwagiwe sifa kaka, tena utaulizwa na nduguzo umekitoa wapi ,? Waambie ni mnyarwanda huyu, hehehee utaambiwa na mimi nipeleke huko,,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom