Nimetokea kumpenda shemeji, nashindwa kujizuia

Nipe mbinu mkuu maana kuna saut mbl zinatoka ndan yang moja inasema utadhalilika nyingine inasema kampangie chumba mana kazi nimemtafutia sasa niisikilize saut gan ndio mtihan
Muweke karibu, mjali sana, mhurumie sana, hata akikuomba kitu ambacho kipo nje ya uwezo wako pambana akipate, siku zote ikitokea migongano au tatizo lolote simama upande wake mtetee pamoja na hayo mengine uliyopanga kumfanyia mwisho wa siku hata hutatongoza atalainika mwenyewe utajisevia bila nguvu nyingi.
Ku care ndo kila kitu
 
Ndio ni hadithi,eti amehama kwenda kupanga mkoa mwingine,je hana shuguli za kufanya au na shuguli zimehama?
 
Shida amelogwa jua hili angekuwa kamtani kama yeye na akili zake asingemwambia mkewe angenyamaza kimya .
Tuli.ila huoni hata yeye anapigana imtoke hii hali maana sio ridhaa yake
 
IPO SIKU UTATUAMBIA UNAWASHWA NA UNASHINDWA KUJIZUIA..😕
 
Kwa unavyoona huyo anapigana mkuu??

Mambo mengine ni kujiendekeza. Kapata wapi ufaham wa kuandika haya. Anajua wazi lililo jema na baya. By the way ameshazini nae coz kamtamani, kapata hisia..

Shetani anakupitia ukikaa standby kumngoja. Yawezekana alimfungulia mlangi adui akapita akakaa ndani yake. Mbona Yesu hakuruhusu hili alivyojaribiwa. Mbona mnawapa nguvu sana wachawi.

Simama katika imani, omba sana toa sadaka upendo...vyote hivyo kurogana inakujaje..em tusiendekeze ushirikina. Uchawi utapata nguvu ukikaa standby au ukiufungulia mlango..

#Sijui hata nisemeje#
Shida amelogwa jua hili angekuwa kamtani kama yeye na akili zake asingemwambia mkewe angenyamaza kimya .
Tuli.ila huoni hata yeye anapigana imtoke hii hali maana sio ridhaa ya
 
[emoji120] mkuu yote nimefanya ikiwp kumpeleka shule ya gharama nimempambania ajila kapata na vingn vngn ambavyo ndugu zake walishndw na nikwel shem yuko upand wng kwa kila jambo hat pale ninaoochelew rud hom huwa mtetez kwng mkuu ishu hatua ya pili
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwamba mume na mke ni kama pipa na mfuniko?! Hatari

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
[emoji120] mkuu yote nimefanya ikiwp kumpeleka shule ya gharama nimempambania ajila kapata na vingn vngn ambavyo ndugu zake walishndw na nikwel shem yuko upand wng kwa kila jambo hat pale ninaoochelew rud hom huwa mtetez kwng mkuu ishu hatua ya pili
Hayo ni ya kawaida sana ila yapo mengine mengi unaweza kuendelea kufanya ili kimuweka karibu na wewe. Hata vizawadi zawadi, salare haitoshi mkonyezee lunch allowance ya mwezi, sometimes mtoe kwa shopping kimya kimya bila dada kujua (mwambie dada anaelewa vibaya wakati wewe unamjali kawaida tu so apige kimya amekua asiseme kila kitu, vivocha vocha vya kifurushi cha mwezi, simu zq kumjulia hali na maendeleo yake kwa ujumla....yaaani bila kuchoka then siku unatest kumshika ila ujifanye ni bahati mbaya uone atarespond vipi?)
 
Ukifanya haya yote na bado akakukazia basi ujue sio mzoefu kwenye 6/6, au ni mlokole mnoo, au havutiwi na wewe, au Ana kiboyfriend wanachopendana sana....na kazalika.
 
Kulikuwa na binti mmoja aliemaliza form four mwaka jana. Yeye na dadaye walizaliwa wawili tu kwenye familia yao. Wazazi wao wote wamefariki.

Binti akawa anaishi kwa dada alikoolewa. Miezi ikapita yule binti akaanza mahusiano na shemejiye. Mwanzoni dada ake hakushtukia lakini siku zilivyosonga majirani wakaanza mwambia ashtuke.

Dada akaanza upelelezi kinya kimya. Mume huyo alikua dereva bodaboda. Walikuwa na watoto wanne. Akaja gundua juu ya mahusiano yao. Akamkanya mdogo wake. Binti hakusikia.

Akaendeleza libeneke. Dada yakamfika shingoni. Akamtimua mdogo wake kwenye nyumba yao. Binti akaenda kaa kwa mama mkwe wa dada coz nyumba zilikua karibu.

Mama mkwe akampokea. Binti yule akaja beba mimba ya bwana yule mwanzoni mwa mwaka huu. Mme hakuwa na uwezo wa kupokea mtoto mwingine. Akambeba shem darlin wake wakatoe. Akatolewa, hakusafishwa vizuri.

Akarudi kwa mama mkwe wake. Akaanza kuumwa sana. Dadaye akapata taarifa. Hakujali because alishachukia jumla. Siku zikasonga. Bwana yule hakumpeleka hospital. Binti kafariki mwezi wa saba. Tukamzika.

Jamani mwenye macho na asome, aelewe. Leo familia imebaki na machungu, maumivu..majuto. Niambie hiyo ndoa itakuwaje?? Gharama ya dhambi ni mbaya sana. Ikimbie dhambi..ikatae. Mkatae shetani halooo...
 
[emoji849][emoji849]
 
Nimeopata kitu asante sana mkuu nitakuchek pm nikupe ya maji
 
Bless kwako mwenyekuelewa kaelewa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…