Nimetongozwa na Mwalimu wa kike

Mwambie humpendi,wanawake ni walewale.
 
Uwiii
 
Kama umempenda muoe ila usizae nae hadi wanao wakikua na kujitambua vizuri.
Tena mchane wanao ndio kila kitu kwako

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Kataaa nd.... Malizia mwenyewe
 
Asante kwa ushauri wako
 
we ni vile vitoto vilivyovamia JF hujui hata maana ya mke wala mtoto. Angalia utoto uliouandika. Anyway watakuchangia watoto wenzio mambo uliyoyaandika ni ya kusadikika. Eti amekutongoza, we kwa huo utoto wako hata ungemtongoza mwalimu hakuna atakayekukubalia
 
Wote huwa ni malaika mwanzoni.
Kama uliamua kukaa mwenyewe kwa faida ya watoto wako ni bora zaidi.
 
Na kama huna mpango nae usiitafune big gee yake.
 
Wanampenda KWA sababu ni Mwalimu wao na aliyechaguliwa na baba hivyo hawana choice
 
Nimerudia hakuna mwanamke atakayewapenda wanao unaleta shida hayaa
Kwasababu hiyo mwanamke bado haja zaa amkubali tu, ila amchunguze vizuri yeye na familia yake isije kuwa kashazaa mtoto yupo kwa bibi, halafu wanawake wa pwani hawa tabia ya kutesa watoto kwasababu wamezoea maisha ya wazazi kuachana na wanawake kuishi na watoto wa mama mwingine, kwakua amesema huyo mwanamke ni mtu wa Lindi hakuna shida kwenye kuishi na watoto.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kitendo cha wewe kutongozaa jua ndio changamoto yako namba moja ukiingia nae katika mahusiano.. yani kubali tuu ulitongozwa basi na uwe mpole
 
Amekufungulia mlango ili umchunguze kwa makini, huenda ndiye uliyepangiwa na Mungu ila ukakosea njia. Utakaa mwenyewe mpaka lini? NDUGU yangu, huenda huyo ni msaidizi wako wa kweli, tafakari na uamue. (Ila uchunguzi ni muhimu, usikute aliachika)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…