wa marangu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 259
- 407
si kweli ila kwa upande mwingine usemacho n sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie humpendi,wanawake ni walewale.Habari zenu wakuu, leo nimerudi kutoka mishe mishe zangu za ufundi, ile nafika nyumbani baada ya watoto wangu kunipokea na kusalimiana nao mwanangu akaniambia baba Mwalim Joyce amesema ukifika umpigie anashida na wewe nikamjibu sawa. Ikumbukwe mimi ninaishi na mabinti zangu wawili baada ya kushindwana na mama yao na mimi kuamua kumuachia mji na kuanza upya, sasa niliona baada ya kufanikiwa kuwahamisha shule toka kule Mwanza hadi hapa Morogoro na hawa ni watoto wa kike na niwadogo bado mkubwa ana miaka 11 na mdogo miaka 8 basi hapa shuleni wanaposoma kwa sasa nikaona ni bora niwakabidhishe kwa mwalim ambae anafundisha shule hiyo wanaposomea watoto wangu, na huwa anakuja hapa nyumbani kwa ajili ya kuwafundisha masomo ya ziada (Tution) na nilishamsimulia mkasa wangu na mke tuliyeachana na akanipa pole nyingi sana, nirudi kwenye mada sasa baada ya kumpigia kuwa nimeambiwa na watoto kuwa nikifika nimpigie nikafanya hivyo na Madam kaja kwakweli amefunguka mwanzo mwisho kuwa ananipenda na yupo tayar kuanzisha mahusiano na ikibidi tuoane kabisa, yeye ni mwenyeji wa Lindi na ni muajiriwa wa serikali Mwalimu na hajazaa na hana mume wala mchumba, kiukweli sijampa jibu nimemwambia ngoja nitafakar kwakuwa sina hamu tena ya kuoa kwa sasa, na amesisitiza kuwa hawa watoto wangu wanahitaji malezi ya mama ambae ni yeye kiukweli nipo njia panda sijampa jibu la ndio au hapana, ila kiujumla yeye na watoto wangu wako vizur sana sijajua nimkubalie au vipi na Madam ananiambia ananitegemea nitampa jibu zuri nipo njia panda sijajua nimjibu nini Madam.
UwiiiHabari zenu wakuu, leo nimerudi kutoka mishe mishe zangu za ufundi, ile nafika nyumbani baada ya watoto wangu kunipokea na kusalimiana nao mwanangu akaniambia baba Mwalim Joyce amesema ukifika umpigie anashida na wewe nikamjibu sawa. Ikumbukwe mimi ninaishi na mabinti zangu wawili baada ya kushindwana na mama yao na mimi kuamua kumuachia mji na kuanza upya, sasa niliona baada ya kufanikiwa kuwahamisha shule toka kule Mwanza hadi hapa Morogoro na hawa ni watoto wa kike na niwadogo bado mkubwa ana miaka 11 na mdogo miaka 8 basi hapa shuleni wanaposoma kwa sasa nikaona ni bora niwakabidhishe kwa mwalim ambae anafundisha shule hiyo wanaposomea watoto wangu, na huwa anakuja hapa nyumbani kwa ajili ya kuwafundisha masomo ya ziada (Tution) na nilishamsimulia mkasa wangu na mke tuliyeachana na akanipa pole nyingi sana, nirudi kwenye mada sasa baada ya kumpigia kuwa nimeambiwa na watoto kuwa nikifika nimpigie nikafanya hivyo na Madam kaja kwakweli amefunguka mwanzo mwisho kuwa ananipenda na yupo tayar kuanzisha mahusiano na ikibidi tuoane kabisa, yeye ni mwenyeji wa Lindi na ni muajiriwa wa serikali Mwalimu na hajazaa na hana mume wala mchumba, kiukweli sijampa jibu nimemwambia ngoja nitafakar kwakuwa sina hamu tena ya kuoa kwa sasa, na amesisitiza kuwa hawa watoto wangu wanahitaji malezi ya mama ambae ni yeye kiukweli nipo njia panda sijampa jibu la ndio au hapana, ila kiujumla yeye na watoto wangu wako vizur sana sijajua nimkubalie au vipi na Madam ananiambia ananitegemea nitampa jibu zuri nipo njia panda sijajua nimjibu nini Madam.
Ni kuzidiwa na hisia tuIla hi ya kutongoza Sasa dada ametuangusha [emoji3]
Kataaa nd.... Malizia mwenyeweHabari zenu wakuu, leo nimerudi kutoka mishe mishe zangu za ufundi, ile nafika nyumbani baada ya watoto wangu kunipokea na kusalimiana nao mwanangu akaniambia baba Mwalim Joyce amesema ukifika umpigie anashida na wewe nikamjibu sawa. Ikumbukwe mimi ninaishi na mabinti zangu wawili baada ya kushindwana na mama yao na mimi kuamua kumuachia mji na kuanza upya, sasa niliona baada ya kufanikiwa kuwahamisha shule toka kule Mwanza hadi hapa Morogoro na hawa ni watoto wa kike na niwadogo bado mkubwa ana miaka 11 na mdogo miaka 8 basi hapa shuleni wanaposoma kwa sasa nikaona ni bora niwakabidhishe kwa mwalim ambae anafundisha shule hiyo wanaposomea watoto wangu, na huwa anakuja hapa nyumbani kwa ajili ya kuwafundisha masomo ya ziada (Tution) na nilishamsimulia mkasa wangu na mke tuliyeachana na akanipa pole nyingi sana, nirudi kwenye mada sasa baada ya kumpigia kuwa nimeambiwa na watoto kuwa nikifika nimpigie nikafanya hivyo na Madam kaja kwakweli amefunguka mwanzo mwisho kuwa ananipenda na yupo tayar kuanzisha mahusiano na ikibidi tuoane kabisa, yeye ni mwenyeji wa Lindi na ni muajiriwa wa serikali Mwalimu na hajazaa na hana mume wala mchumba, kiukweli sijampa jibu nimemwambia ngoja nitafakar kwakuwa sina hamu tena ya kuoa kwa sasa, na amesisitiza kuwa hawa watoto wangu wanahitaji malezi ya mama ambae ni yeye kiukweli nipo njia panda sijampa jibu la ndio au hapana, ila kiujumla yeye na watoto wangu wako vizur sana sijajua nimkubalie au vipi na Madam ananiambia ananitegemea nitampa jibu zuri nipo njia panda sijajua nimjibu nini Madam.
Leo usiku tunakujaalika wachawi wako wote unao waamini muje.nawasubiri.
Asante kwa ushauri wakoUsijaribu...weee. Pona na kaa vizuri kwanza. Jijenge, simamia watoto wako mwenyewe. As long as umetoka kutengana na mwanamke na huyu nae ni mwanamke. Utakaribisha drama na hiz zitakumaliza maana kazi ya kudeal na mwanamke mwngne mpya na akuletee visanga akati wewe tayari umevikimbia huko..nehii. Afu kwa sabbu amejua mapito yako anataka kwenda na upepo. Jitafute upya ndo uanze kuwaza sketi.
Sawa mkubwaUtoto mno kutangaza umetongozwa
we ni vile vitoto vilivyovamia JF hujui hata maana ya mke wala mtoto. Angalia utoto uliouandika. Anyway watakuchangia watoto wenzio mambo uliyoyaandika ni ya kusadikika. Eti amekutongoza, we kwa huo utoto wako hata ungemtongoza mwalimu hakuna atakayekukubaliaHabari zenu wakuu, leo nimerudi kutoka mishe mishe zangu za ufundi, ile nafika nyumbani baada ya watoto wangu kunipokea na kusalimiana nao mwanangu akaniambia baba Mwalim Joyce amesema ukifika umpigie anashida na wewe nikamjibu sawa. Ikumbukwe mimi ninaishi na mabinti zangu wawili baada ya kushindwana na mama yao na mimi kuamua kumuachia mji na kuanza upya, sasa niliona baada ya kufanikiwa kuwahamisha shule toka kule Mwanza hadi hapa Morogoro na hawa ni watoto wa kike na niwadogo bado mkubwa ana miaka 11 na mdogo miaka 8 basi hapa shuleni wanaposoma kwa sasa nikaona ni bora niwakabidhishe kwa mwalim ambae anafundisha shule hiyo wanaposomea watoto wangu, na huwa anakuja hapa nyumbani kwa ajili ya kuwafundisha masomo ya ziada (Tution) na nilishamsimulia mkasa wangu na mke tuliyeachana na akanipa pole nyingi sana, nirudi kwenye mada sasa baada ya kumpigia kuwa nimeambiwa na watoto kuwa nikifika nimpigie nikafanya hivyo na Madam kaja kwakweli amefunguka mwanzo mwisho kuwa ananipenda na yupo tayar kuanzisha mahusiano na ikibidi tuoane kabisa, yeye ni mwenyeji wa Lindi na ni muajiriwa wa serikali Mwalimu na hajazaa na hana mume wala mchumba, kiukweli sijampa jibu nimemwambia ngoja nitafakar kwakuwa sina hamu tena ya kuoa kwa sasa, na amesisitiza kuwa hawa watoto wangu wanahitaji malezi ya mama ambae ni yeye kiukweli nipo njia panda sijampa jibu la ndio au hapana, ila kiujumla yeye na watoto wangu wako vizur sana sijajua nimkubalie au vipi na Madam ananiambia ananitegemea nitampa jibu zuri nipo njia panda sijajua nimjibu nini Madam.
Wanampenda KWA sababu ni Mwalimu wao na aliyechaguliwa na baba hivyo hawana choiceMkuu kwanza pole sana. Huyu mwanamke hana nia mbaya na watoto wako. Ameona nafasi ipo wazi angeweza kumtongoza mwanaume fresh asiye na watoto. Nakushauri fikiria nenda naye kwa makini kwanza kama mpenzi hata mchunguze mwaka hivi kama ukiona watoto wanampenda basi muoe
WapoMwambie hapana ,hakuna mama wakamboo aliyewapenda watoto wa nje
Kwasababu hiyo mwanamke bado haja zaa amkubali tu, ila amchunguze vizuri yeye na familia yake isije kuwa kashazaa mtoto yupo kwa bibi, halafu wanawake wa pwani hawa tabia ya kutesa watoto kwasababu wamezoea maisha ya wazazi kuachana na wanawake kuishi na watoto wa mama mwingine, kwakua amesema huyo mwanamke ni mtu wa Lindi hakuna shida kwenye kuishi na watoto.Nimerudia hakuna mwanamke atakayewapenda wanao unaleta shida hayaa