Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Yaani kama upo kwaajili ya kushindana na Makonda bora uache maana hutomweza huyu mwamba hata akipewa uwenyekiti wa kijiji utaendelea kumsikia kwenye media.Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.
Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Akiondolewa uRC atabaki na cheo cha uhawara kwa mkewe tuYaani kama upo kwaajili ya kushindana na Makonda bora uache maana hutomweza huyu mwamba hata akipewa uwenyekiti wa kijiji utaendelea kumsikia kwenye media.
Hata mimi naamini hivyo. Bora usiwe Kiongozi katika kundi la Wahuni, wapumbavu na mediocres wanaopenda uzembe, kutowajibika na kutotaka matokeo ya haraka.Cha kushangaza MAKONDA ni jitu jasiri lilisema wazi siku ya kwanza hata nikiwa mkuu wa mkoa kwa siku moja tu kuna wazembe na wavivu maofisini watajua mwanaume mwenye maamuzi kapita ,Makonda haogopi kitu ,hakumbatii ukuu wa mkoa ,apigi magoti kwa yoyote atafanya anavyojua yeye sio unavyotaka wewe.Makonda hana njaa ya kuongea kumfurahisha mtu.KIONGOZI BORA KABISA
Atakua mhubiri watanzania wote watafurika mitandaoni kumfwata. Bado utahaibika tu.Akiondolewa uRC atabaki na cheo cha uhawara kwa mkewe tu
You are idiot without common senseUfinyu wako wa akili ndio unafanya usione udhalilishaji!
Namtetea nanimbona kama unamtetea?
Sijaona kosa la Makonda
Na badoHii wiki ngumu sana kwetu wanawake, huku tunasimangwa kwa yaliyomkuta Penina, huku tunadhalilishwa!
Yatapita tu.
Akiondolewa uRC atabaki na cheo cha uhawara kwa mkewe tu
Tanzania ina kuku wa kienyeji 45,869,123.57.
Siyo kwa huyu fedhuliAtakua mhubiri watanzania wote watafurika mitandaoni kumfwata. Bado utahaibika tu.
Siyo dharau hiyo ni confidence ya mtu anayejua mambo.Yuel dada alijibu kwa dharau kwenye mambo serious,,inawezekqna alifanya hivyo ili wapate sbb yakumtumbua sbb wanamtafuta
Kwa kauli hii inaonesha wazi wewe una chuki binafsi na Makonda., hakuna cha tetesi wala nini bali ni matamanio ya nafsi yako Makonda atenguliwe.Siyo kwa huyu fedhuli
Sikio la kufa ......Huyo jamaa huwa hajifunzi I don't know why! Dah!
Yaani hatoboi this time, badala yake atatoboka.
Na sipati picha kesho Maulid Kitenge atakavyosoma gazeti la Mwanahlisi
Ana laana ya kumpiga ngwala WariobaAsante.
Makonda ana utoto mwingi sana na hataacha. Angejifunza kwa kina mzee malecela!
Wewe humchukii Makonda? Basi utakuwa na shida kichwani. Makonda;-Kwa kauli hii inaonesha wazi wewe una chuki binafsi na Makonda.,