Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Yaani kama upo kwaajili ya kushindana na Makonda bora uache maana hutomweza huyu mwamba hata akipewa uwenyekiti wa kijiji utaendelea kumsikia kwenye media.Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.
Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.