Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.

Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.

Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Yaani kama upo kwaajili ya kushindana na Makonda bora uache maana hutomweza huyu mwamba hata akipewa uwenyekiti wa kijiji utaendelea kumsikia kwenye media.
 
Cha kushangaza MAKONDA ni jitu jasiri lilisema wazi siku ya kwanza hata nikiwa mkuu wa mkoa kwa siku moja tu kuna wazembe na wavivu maofisini watajua mwanaume mwenye maamuzi kapita ,Makonda haogopi kitu ,hakumbatii ukuu wa mkoa ,apigi magoti kwa yoyote atafanya anavyojua yeye sio unavyotaka wewe.Makonda hana njaa ya kuongea kumfurahisha mtu.KIONGOZI BORA KABISA
Hata mimi naamini hivyo. Bora usiwe Kiongozi katika kundi la Wahuni, wapumbavu na mediocres wanaopenda uzembe, kutowajibika na kutotaka matokeo ya haraka.
Nchi imeoza. Wazembe na wavivu wanatetewa.
 
Mapungufu yake tunaachana nayo.
Mazuri yake tunatembea nayo.

Ni kiongozi mwenye ujasiri na uthubutu wa hali ya juu. Ni mfuatiliaji makini.

Kama akijirekebisha kwenye hizo kasoro ndogo ndogo (za kibinadamu), Paul ni kiongozi mzuri sana na anafaa.

Long live Paul Makonda. 😎

-Kaveli-
 
Kwa kauli hii inaonesha wazi wewe una chuki binafsi na Makonda.,
Wewe humchukii Makonda? Basi utakuwa na shida kichwani. Makonda;-
*Amepora nyumba ya GSM.
*Alimpiga Lisu risasi nyingi tu.
*Alimteka Roma, Mo, n.k
*Alipora fedha za wafanyabiashara wenye asili ya kihindi DSM.
*Alivamia kituo cha Cloudstv.
*Alimnasa vibao mzee Warioba.
N.k.
 
Back
Top Bottom