Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

Bina
Binafsi naisi ana shida kubwa sana huyu mtu maana hajifunzi na pia Hana heshima kwa wale waliochini yake maana kwenye uongozi huwezi fanya Kila kitu lazima uwe na watu wa kukusaidia na muwe timu.Binafsi hule ni udhalilishaji mkubwa angemuomba radhi huyo mtumishi ,kibinadamu na pia kimalezi na Mila zetu wa Tanzania si jambo jema.
 
Labda ungesema Alijisababishia kwa kutaka kukisimamia kile alichokiamini πŸ‘πŸ«΅
 
Huu udhalilishaji wake si wa kwanza.
Kuna mdau mmoja aliwahi kuja na uzi kuhusu udhalilidhaj mwingne alofanya ila kwakuwa alikuwa mwanaume alifanyiwa udhalilishaji hata haikuwa na kelele.
Ni mdhalilishaji sana huyo mtu
 
You need to be deep to see that kwamba mdada wa watu alikuwa anaongea as if anaongea na mashoga zake huko kwenye viofisi vyao!Watu wako serious and speedy we unaleta mayongeyonge.She deserves that reaction,wafanyakazi ndio wanaosababisha miradi inachelewa with no reason wanachangamoto sana.Tunahitaji viongozi wakali ili walau kuharakisha mambo
 
Sawa
 
Yaani kucha nzima kumsagia Makonda hapa ni Majizi vs Mke mzuri kwangu mm Majizi ndio neno linalotakiwa kujadiliwa ili kuleta uadilivu kwa Umma hatimae nchi ipate maendeleo ya kweli kuna Mawaziri wamewahi kuitwa Nonsense, Stupid but no one cares over these words but when it comes to Makonda that any issue must be exaggerated like never happened before.Guys be serious.
 
Mkuu agiza ulanzi ntalipa ,unajua watu wanafki sanaaa utafikiri hawajawahi kukumbana na " miungu watu" maofisini huyo dada ni mfano wa wachache kabisa wanaojisahau sana wakiwa maofisini,
Ni wanyama nenda mahospitali,nenda mahakamani,nenda police ,nenda Nida,nenda sijui wilayani ,yani utabetuliwa mdomo mpaka ujione mbwa koko,
Acha tu ,
 
Acheni upuuzi,huyo anayetumbua wenzake yeye mwenyewe kwenye nchi ya watu wanaojielewa anagekuwa hayupo Ikulu.Madudu ya ripoti za CAG yanatosha kumuondoa Ikulu ila kwasababu anatawala cheap minds kama mtoa mada,kutwa kujadili watu badala ya masuala!
 
Utasubiri sana. Aliyemteua anamfahamu kuwa ni mtu wa aina hiyo, laiti angekuwa anachukia matendo ya hivyo, asingemteua kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…