ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Mtu anayejiamini huwa habembelezi Kazi 👁Alivimba kichwa sana baada ya kupewa second chance akadhani anaogopwa na kuheshimiwa kumbe alikuwa anahurumiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu anayejiamini huwa habembelezi Kazi 👁Alivimba kichwa sana baada ya kupewa second chance akadhani anaogopwa na kuheshimiwa kumbe alikuwa anahurumiwa.
Binafsi naisi ana shida kubwa sana huyu mtu maana hajifunzi na pia Hana heshima kwa wale waliochini yake maana kwenye uongozi huwezi fanya Kila kitu lazima uwe na watu wa kukusaidia na muwe timu.Binafsi hule ni udhalilishaji mkubwa angemuomba radhi huyo mtumishi ,kibinadamu na pia kimalezi na Mila zetu wa Tanzania si jambo jema.Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.
Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Labda ungesema Alijisababishia kwa kutaka kukisimamia kile alichokiamini 👁🫵Ukiidharau silaha hizi muhimu (hekima & busara) katika maisha ya kawaida na ya kila siku na hususani ukiwa kiongozi wa watu, basi hufiki popote hata uwe mjanja kiasi gani.
Kinyume cha "hekima" ni "ujinga". Unaikataa hekima, basi wewe ndiye hasaaaa mjinga...
Baba yenu Magufuli yuko wapi? Kama unafikiri ni "mapenzi ya Mungu", umechanganyukiwa. Huyo alijiua mwenyewe kwa ujinga wake..
SawaWekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.
Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Huwezi kuona tatizo, labda angeambiwa mama Yako Yale maneno Ndio ungeweza kuonaSijaona tatizo kwenye hiyo video labda ni chuki tu iliyowajaa waafrika.
Mkuu agiza ulanzi ntalipa ,unajua watu wanafki sanaaa utafikiri hawajawahi kukumbana na " miungu watu" maofisini huyo dada ni mfano wa wachache kabisa wanaojisahau sana wakiwa maofisini,You need to be deep to see that kwamba mdada wa watu alikuwa anaongea as if anaongea na mashoga zake huko kwenye viofisi vyao!Watu wako serious and speedy we unaleta mayongeyonge.She deserves that reaction,wafanyakazi ndio wanaosababisha miradi inachelewa with no reason wanachangamoto sana.Tunahitaji viongozi wakali ili walau kuharakisha mambo
Kosa lake nini???mbona kama unamtetea?
Akimaliza wiki niitwe huhuhu!Kwa hiyo Zuhura leo usiku au kesho atarusha barua ya utenguzi na uteuzi mpya hewani?
Utasubiri sana. Aliyemteua anamfahamu kuwa ni mtu wa aina hiyo, laiti angekuwa anachukia matendo ya hivyo, asingemteua kabisa.Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.
Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Kwa lipi? Nyie sijui mnafikiria kwa kutumia nini? Bashite ni mtoto mdogo sana nchini. Ni kachawa kadogo sana kale kajamaa.Akifukuzwa ajiunge na watu kama akina Mpina waanzishe Chama Chao 👁
Shughuli itakuwa pevu 👁
Hata kama mtumishi ni mzembe, hastahili kudhalilishwaInapotekea ufuatiliaji kama hivi, ndio anabaki ang'ata ulimi tu. Hata kujieleza anashindwa. Mnalea uzembe.
Kama raisi yupo humu atakosaje yeye?Kumbe yumo humu?