Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

Wanafiki mmetia timu kazini kuleta umbea na fitna.

Tena mimi ningekuwa makonda ningemchapa viboko huyo dada.

Kuna watumishi wazembe sana na wajinga, ni kucharaza mboko mpaka wanyooke kama rula.

Samia aniteue mimi Bichwa Komwe nimuonyeshe venye watumishi wananyooshwa.
Kwa kusema ana mke mzuri..ndio uchapakazi wa makonda? Shame on you
 
You can easily tell she was lying.
Unajua inabidi tufike mahali watanzania tuondokane na hii tabia ya ubabaishaji. Ingawa ni kweli hicho kichombezo cha 'kuongea na mchumba wako' siyo appropriate, lakini kwa kusikiliza tu maelezo ya mhojiwa unaona kabisa alikuwa anatafuta njia ya kudanganya ili kuficha uzembe wa kutokamilisha kazi kwa muda! Hiyo ndiyo imekuwa culture yetu watanzania; uzembe, uongo, uvivu, ubabaishaji, ufisadi, nk. Tusipofika mahali tukabadilika, kamwe tusahau kuhusu kuleta mabadiliko ktk jamii na taifa letu.
Ufisadi waanze kupeana shombo huko chamani kwao akiwemo na yeye. Hayo sio majibu yakumjibu mtu mbele ya hadhara. Uwajibishwaji upo bila kumtoa mtu utu wake.
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=pf2rBJg22pg

Hiko ndio kinachowauma, kwanini wananchi wanamuani na kufurika kila anapoenda.

wafanyieni kazi wananchi; onyesheni kujali mkienda sehemu mtajaza watu tu kama yeye. Badala ya kuishi kila siku kujaribu kumgombanisha na boss.

Kila mtu ashinde vita vyake, na vita mbinu.

Jamaa anapendwa sana na wananchi sababu anapiga kazi

Humu wengi wanamuonea wivu tu
 
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.

Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.

Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.

Pipe dream!

Ndoto za Alli Nacha

Bila Mteule Mteuzi sio Mteuzi

Mteule ndio aliyepandikiza mbegu ya wazo vichwani mwa wenye nchi kwamba Mteuzi anaweza kufanywa Mteuzi.

Na Mteuzi ameshakiri hadharani. Ana deni nae.

Lakini la pili, Afrika hakunaga skendo ya eti kiongozi kuongea vibaya hadharani. Kiongozi anaeuhusiwa kudhalilisha. Nini kudhalilisha, unaweza hata kupiga mtu vibao. Spika Ndugai alipiga mwananchi marungu hadharani kwenye mkutano jimboni. Akapeta mpaka siku alipomdhalilisha Mteuzi kwa utawala wakw wa kuomba omba misaada kwa Wazungu.

Mteule yuko kwenye mikono salama.
 
wananchi ndio sisi au jamii forum ni ya wakongo. Aache dharau!
Jamiiforum inawapuuzi wengi.

Mtu anamkandia makonda wakati mkuu wa mkoa wake hata jina hamfahamu!

Makonda anapiga kazi sana mwamba yule anakipaji na anamibaraka ya Mungu
 
Was it necessary to say those words?

Honestly, sijaona kosa la huyo dada ktk majibu yake. Ambacho angeweza kufanya Makonda kama alihitaji clarification, angeweza kumsimamisha mtaalamu wa ujenzi (mhandisi msimamizi).

Lakini kumrushia maneno hayo dada huyo si uongozi huo bali ni uhuni tu.

Na shida ya Paul Makonda ndiyo hiyo. Matumizi mabaya ya mdomo wake.

Ni kama ya alivyokuwa baba yake John P. Magufuli.

√ Wote hawafikiri kabla ya kupanua midomo yao kusema.

√ Wote hutumia madaraka yao kuonea na kunyanyasa walio chini

√ Wote wakati wowote wanaweza kumdhalilisha yeyote bila haki

√ Wote walinyimwa akili ya hekima na busara!
Leo kwa mara ya kwanza naungana na wengine wote dhidi ya huyu RC. That was so wrong. Kiongozi gani unavuka mipaka kiasi kile? Na kapitia hadi mafunzo ya uongozi huyu, ila hamna mabadiliko yoyote. Idea yake ilikuwa nzuri kweli, ila namna anavyowadhalilisha watumishi wa umma hapana kwa kweli. Anavuka mipaka.
 
Jamiiforum inawapuuzi wengi.

Mtu anamkandia makonda wakati mkuu wa mkoa wake hata jina hamfahamu!

Makonda anapiga kazi sana mwamba yule anakipaji na anamibaraka ya Mungu
Watu wanaomshabikia ndio wapuuzi. Amekosea hakua sahihi! Izo baraka za kupiga ngumi hadi kina mzee Warioba tutaona mwisho wake.
 
Watu wanaomshabikia ndio wapuuzi. Amekosea hakua sahihi! Izo baraka za kupiga ngumi hadi kina mzee Warioba tutaona mwisho wake.
Hata wapumbavu wanazeeka!
Hicho kitu hakipo!
Lazima kiongozi usikilize wananchi wako ukifanya hivyo watakupenda tu!
Ukipendwa na wananchi ni ishara tosha wewe unamkono wa Mungu upo juu yako!

Makosa mengine ni yakibinadamu tu ila haimuondoi kuwa kiongozi mzuri. Anausikivu, anamataminio ya kuona watu wanawajibika na kutimiza wajubu wao.
Binafsi Mungu azidi kumlinda .Makonda
 
Hata wapumbavu wanazeeka!
Hicho kitu hakipo!
Lazima kiongozi usikilize wananchi wako ukifanya hivyo watakupenda tu!
Ukipendwa na wananchi ni ishara tosha wewe unamkono wa Mungu upo juu yako!

Makosa mengine ni yakibinadamu tu ila haimuondoi kuwa kiongozi mzuri. Anausikivu, anamataminio ya kuona watu wanawajibika na kutimiza wajubu wao.
Binafsi Mungu azidi kumlinda .Makonda
Naona hatuelewani usije nipa shombo bure kama za unayemtetea. Mada hapa ni amekosea ajirekebishi sasa sielewi unabishana nini. Wewe kama unaona yupo sawa kiongozi anatakiwa kuwa ivyo well and good. Muda utaongea
 
Mke mdogo wa bashite(LM) atakufa na presha bwana wake akitenguliwa bila shaka mnamjua hata humu jf yupo
 
not to sound elitist, lakini mtu kala ziro kwenye elimu zote alizopita, anakuaje kiongozi kwenye nchi "inayojielewa" au labda sisi hatujitambui
DAH MPAKA TUNACHOKA AISEE,HIV WEWE NDIO UPO KATIKA DUNIA YA KUAMIN ILI MTU AWEZE KUONYESHA ABILITY LAZIMA AWE NA VYETI!! SO SAD. VYETI HIVI HIVI VYA BONGO? MZEE HATA KAMA UNA CHUKIA BASI JARIBU KUANGALIA VIDEO NZIMA UONE NAMNA MASWALI YANAVYOLETWA UONE NA JINSI MAKONDA ANAVOULIZA NDIO UJE HAPA UANZE KUONGELEA MAVETI SIJUI ZIRO, LISU NA U LAWYER WOTE ANGALIA ANAVYO JIEXPRESS.DJ JE KASOMA?
 
Unataka awachekee wale mafala ........unakuta jitu linasema kibanda cha mlinzi kukijenga ni milioni saba limesaini limetoka na pesa ........nimeona kama lile banda la kupokelea samaki eti limejengwa kwa milioni 50 kubabeki lile hata milioni tano tu halifiki mtu kaandika 50 .........makonda wewe endelea kuwapaka futa kwa fujo sana.......mpaka wataelewa
Oya mafuta tena??
 
Kitendo Cha kumlinganisha ni MKE wake na kutoa jibu kuwa MKE wake ni mzuri alituma ujumbe gani kwa mume wa huyo engineer?
kisaikolojia bashite alimhusudu yule mdada kwa position yake kama engineer na pia alionekana ni mwanamke wa shoka anajiamini anavyojieleza mbele yake na mbele ya wananchi halafu alionekana anahaiba ya kipekee hali hiyo ilimtesa akilini makonda akataka kupata jibu la haraka ili aingie mtegoni akakosa ikabadi amwadhibu palepale kijinsia kwa kum-provoke mbele ya kadamnasi ili ajipatie point 3 za lasma mezani mbele ya wananchi.
 
Back
Top Bottom