You can easily tell she was lying.
Unajua inabidi tufike mahali watanzania tuondokane na hii tabia ya ubabaishaji. Ingawa ni kweli hicho kichombezo cha 'kuongea na mchumba wako' siyo appropriate, lakini kwa kusikiliza tu maelezo ya mhojiwa unaona kabisa alikuwa anatafuta njia ya kudanganya ili kuficha uzembe wa kutokamilisha kazi kwa muda! Hiyo ndiyo imekuwa culture yetu watanzania; uzembe, uongo, uvivu, ubabaishaji, ufisadi, nk. Tusipofika mahali tukabadilika, kamwe tusahau kuhusu kuleta mabadiliko ktk jamii na taifa letu.