GE2025 Nimetonywa: Mauzi kumfuata wa Kisesa, labda muandika Majina ya vita Kagera amalize mchezo maana dada Kaitwa

GE2025 Nimetonywa: Mauzi kumfuata wa Kisesa, labda muandika Majina ya vita Kagera amalize mchezo maana dada Kaitwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ungekua unaandika hivi nyuzi zisingekua zinafutwa. Yale mambo ya kutaja majina direct huwa lazima nyuzi zifutwe
 
Hivi mtu unaogopa nini kwenda straight na kutaja majina halafu ukizingatia ni tetesi na unatumia fake ID
Kweli CCM watatawala milele.Kama tuna fake ID na still tunaogopa.Mweh
Ukiandika majina nguzi inafutwa
 
Kikwete ni Rafiki wa Baba January hivyo anaweza fanikisha kushauri January asihame.By the way alihama Lowassa hata na akarudi.Hata January anaweza kuhama na akipata ubunge 2030 anarudi CCM ili agombee urais.🤣
Halafu huko wanapoenda huwa wanaenda kuzuga tu
 
Hivi mtu unaogopa nini kwenda straight na kutaja majina halafu ukizingatia ni tetesi na unatumia fake ID
Kweli CCM watatawala milele.Kama tuna fake ID na still tunaogopa.Mweh
Ukiona hivo ujue hakuna kitu Zaid ya blah blah
Haezi ongea vitu nusu nusu utazan season za kikorea
 
Mbowe kaona ajilie zake pensheni hatk mambo mengi tena.
Alaf kwenye case ya ugaidi ya mbowe lissu alikua wapi vile ?
Alihama lowassa hata ccm haijatingishika, ndo iwe hao madogo 😂

Slaa alitoka chadema na hakuna lililotokea.

Ukiwepo mahali unajiona una umuhimu sana na ukiondoka taasisi itaangamia, ila ukiondoka kweli unashangaa mambo yanaenda kama ilivyokuwa 😂 ni sawa na mbowe tuu anavyoshangaa chadema ya sasa
 
Note that: si kila Tetesi lazima ipite au ikamilishwe, bwana mkubwa Anaweza akamshawishi Jamaa akabaki maana Muandika Majina ya Kwenda vita ya kagera ni rafiki sana na baba Mauzi
Britanicca
Leo umejihami kabla, hongera kwa improve sasa na zingine uwe unaandika hivi ili kuondoa sintofahamu ulisema July kuna nini vile jumba Jeupe kutakua na Moshi Mweusi au Mweupe?
 
Kikwete ni Rafiki wa Baba January hivyo anaweza fanikisha kushauri January asihame.By the way alihama Lowassa hata na akarudi.Hata January anaweza kuhama na akipata ubunge 2030 anarudi CCM ili agombee urais.🤣
Uongo,alishindwaje kusimamia asikatwe??
 
Makamba anaona akiukosa hapa hapati Tena. Ni kujilipua.
You better lose yourself in the. . .
The moment, you own it, you better never let it go
You only get one shot, do not miss your chance to blow
This opportunity comes once in a lifetime, yo
 
Hivi mtu unaogopa nini kwenda straight na kutaja majina halafu ukizingatia ni tetesi na unatumia fake ID
Kweli CCM watatawala milele.Kama tuna fake ID na still tunaogopa.Mweh

Akikujibu niambie wifi yangu!
 
Kikwete ni Rafiki wa Baba January hivyo anaweza fanikisha kushauri January asihame.By the way alihama Lowassa hata na akarudi.Hata January anaweza kuhama na akipata ubunge 2030 anarudi CCM ili agombee urais.🤣

Waliohama ccm wote, the come back was not easy
 
Back
Top Bottom