Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,048
- 60,245
Kwenye siasa kuna maslahi kwanza Urafiki baadae,si uliona JK alichomfanyia Lowassa?Uongo,alishindwaje kusimamia asikatwe??
Kwenye siasa kuna maslahi kwanza Urafiki baadae,si uliona JK alichomfanyia Lowassa?Uongo,alishindwaje kusimamia asikatwe??
Ni ukanjanja tu, wewe hujawajua hawa?Hivi mtu unaogopa nini kwenda straight na kutaja majina halafu ukizingatia ni tetesi na unatumia fake ID
Kweli CCM watatawala milele.Kama tuna fake ID na still tunaogopa.Mweh
JInga hili pumbavu. Ni kutulisha matango pori tu.Hivi mtu unaogopa nini kwenda straight na kutaja majina halafu ukizingatia ni tetesi na unatumia fake ID
Kweli CCM watatawala milele.Kama tuna fake ID na still tunaogopa.Mweh
Wewe tunakujua ulitumbuliwa kwa vyeti feki.Na wewe hii mimba ya dhalim bado hujajifungua? Hebu tuondolee ushamba wako hapa.
Jibril.Muandika majina ndo nani we britanicca ?
Kwani haujaelewa nn hapo?Hivi mtu unaogopa nini kwenda straight na kutaja majina halafu ukizingatia ni tetesi na unatumia fake ID
Kweli CCM watatawala milele.Kama tuna fake ID na still tunaogopa.Mweh
😁😁😁🤣Mkuu unatulisha matango pori kila uchwao. Hakuna tabiri yako hata moja itatimia nimekaa pale.
January hana ushawishi,namshauri akae kimya kwa muda,ajipange taratibu,arekebishe mifumo yake na ajenge ushawishi upya kwa umma, afanye mambo practically zaidi kwa kipindi hiki,asitetereke!,Yaani kuandika Makamba kumfuata Mpina ,unaogopa ?
Mtu ana ID Nne zote fakeHivi mtu unaogopa nini kwenda straight na kutaja majina halafu ukizingatia ni tetesi na unatumia fake ID
Kweli CCM watatawala milele.Kama tuna fake ID na still tunaogopa.Mweh
Uzuri mimi sijawahi kuajiriwa serikalini wala kwenye taasisi za umma hivyo dai lako ni la kipumbavu. Huyo Magufuli mwenyewe alikuwa na PhD fake na Ben Saanane alipomuumbua ndiyo akaamua kumpiga manati ya kizungu.Wewe tunakujua ulitumbuliwa kwa vyeti feki.
Ambaye hana marinda ni yule anayefirwa kule deathrow..CCM = ACT= Chauma wanakulana mtu dada na shemeji yake hakuna jipya hapo
Wote bikra na marinda hawana
Wamempandikizia Afande mstaafu akashughulike nayeDada mtu kaitwa kwa Bwana mkubwa muandika Majina ya waenda vita ya kagera hapo pembeni baada ya kusikia Kaka na Baba wana afiki kabisa Jamaa kutua kwenye usajili Mpya !
Kuna taarifa kwamba atahakikisha anakinukisha japo naye ananuka
Kesho Saa tano Mpaka kumi kwaweza kuwapo Breaking Nyuziiii akiwa na waandishi wa Habari
Note that: si kila Tetesi lazima ipite au ikamilishwe, bwana mkubwa Anaweza akamshawishi Jamaa akabaki maana Muandika Majina ya Kwenda vita ya kagera ni rafiki sana na baba Mauzi
Britanicca
Mambo ya ajabu sanaHivi mtu unaogopa nini kwenda straight na kutaja majina halafu ukizingatia ni tetesi na unatumia fake ID
Kweli CCM watatawala milele.Kama tuna fake ID na still tunaogopa.Mweh