GE2025 Nimetonywa: Mauzi kumfuata wa Kisesa, labda muandika Majina ya vita Kagera amalize mchezo maana dada Kaitwa

GE2025 Nimetonywa: Mauzi kumfuata wa Kisesa, labda muandika Majina ya vita Kagera amalize mchezo maana dada Kaitwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kikwete ni Rafiki wa Baba January hivyo anaweza fanikisha kushauri January asihame.By the way alihama Lowassa hata na akarudi.Hata January anaweza kuhama na akipata ubunge 2030 anarudi CCM ili agombee urais.🤣
Kikwete hana rafiki linapokuja swala la Kulinda masilahi yake na Generation yake, Kama kweli ni kuwa Kuna Mpanngo Rizimoko akalie kiti kikuu basi tutegemee wale potential threat kubatizwa kwa moto haswa kuelekea 2030
 
Hivi mtu unaogopa nini kwenda straight na kutaja majina halafu ukizingatia ni tetesi na unatumia fake ID
Kweli CCM watatawala milele.Kama tuna fake ID na still tunaogopa.Mweh

Chemsha ubongo kidogo mkuu😄😄
 
Hivi mtu unaogopa nini kwenda straight na kutaja majina halafu ukizingatia ni tetesi na unatumia fake ID
Kweli CCM watatawala milele.Kama tuna fake ID na still tunaogopa.Mweh
Ni uongo. Huwa wanaogopa kusutwa.
 
NI BORA KULA NGURUWE KULIKO KUCHAGUA MUISLAMU KUWA KIONGOZI
Ujinga na udini (extrimism) katika ubora wake. Ila ni kweli kwasababu hawa ni madrasa tu. Sasa wanaonesha ni kwa kiasi gani madrasa ni muhimu.
 
Dada mtu kaitwa kwa Bwana mkubwa muandika Majina ya waenda vita ya kagera hapo pembeni baada ya kusikia Kaka na Baba wana afiki kabisa Jamaa kutua kwenye usajili Mpya !

Kuna taarifa kwamba atahakikisha anakinukisha japo naye ananuka

Kesho Saa tano Mpaka kumi kwaweza kuwapo Breaking Nyuziiii akiwa na waandishi wa Habari

Note that: si kila Tetesi lazima ipite au ikamilishwe, bwana mkubwa Anaweza akamshawishi Jamaa akabaki maana Muandika Majina ya Kwenda vita ya kagera ni rafiki sana na baba Mauzi
Britanicca
What about July mzee????
 
Hivi mtu unaogopa nini kwenda straight na kutaja majina halafu ukizingatia ni tetesi na unatumia fake ID
Kweli CCM watatawala milele.Kama tuna fake ID na still tunaogopa.Mweh
Mmh kina Ben saanane waliondoka hivi hivi
 
Hivi mtu unaogopa nini kwenda straight na kutaja majina halafu ukizingatia ni tetesi na unatumia fake ID
Kweli CCM watatawala milele.Kama tuna fake ID na still tunaogopa.Mweh
Ni kujipa umuhimu wa ki Nostradamus tu.

Si unajua tena Nostradamus haandiki moja kwa noja lazima atumie code.

Akiandika moja kwa noja inakuwa rahisi kumshika hapa ulisema jina hili itakuwa hivi, mbona haikutokea kama ulivyosema?

Inabidi abumbebumbe kuandika code za uongo na kweli.
 
Kwa mtazomo wangu:

Huyu ni January bila shaka ndio anaongelewa kutimka CCM.

Dada=Dada wa January

Kaka=January

Baba= Mzee Ma-rope.

Muandika Majina=JK

Vita ya Kagera= Uchaguzi Mkuu

Niko tayari kurekebishwa/kusahihishwa maana hii ni code na mleta mada ndio anajua nani ni nani ila naamini niko sahihi kwa asilimia 99 kama sio 100.
Ngoja nirudi kusoma tena na tena post
 
Gwajima
Polepole
Kikwete hana rafiki linapokuja swala la Kulinda masilahi yake na Generation yake, Kama kweli ni kuwa Kuna Mpanngo Rizimoko akalie kiti kikuu basi tutegemee wale potential threat kubatizwa kwa moto haswa kuelekea 2030
Ndo maana kakomaa Bimdashi amalizie huu mkono wake uliobakia anajua by that tym Rizimoko atakuwa tayari kupokea kijiti...
Mwendazake hakwenda bure...
 
Back
Top Bottom