Nimetuma maombi ya kazi kimakosa

Nimetuma maombi ya kazi kimakosa

daviasoda

New Member
Joined
Sep 9, 2020
Posts
4
Reaction score
5
Naombeni msaada wadau,

Nimetuma kimakosa application za ualimu, nilienda internet cafe kufanya application bahati mbaya aliyenihudumia akawa amechanganya taarifa zangu na mtu mwingi kwenye vyeti sasa tatizo linakuja nashindwa kuviondoa vyeti vya mtu mwingine kwenye account yangu.
 
Mwalimu mzima huwezi ku fanya application yako mwenyewe very shame, shida chuoni huwa Ni mda wa kuzurula, tu hamjifunzi hata computer Tena ingetakiwa mfanye interview kabisa nyie ndio mnaenda kufundisha watoto wetu ujinga.
 
Mwalimu mzima huwezi ku fanya application yako mwenyewe very shame, shida chuoni huwa Ni mda wa kuzurula, tu hamjifunzi hata computer Tena ingetakiwa mfanye interview kabisa nyie ndio mnaenda kufundisha watoto wetu ujinga
Hivi kufanya Application ni suala la kujua kufanya Application au suala la kuwa na Resources za kufanyia.

Umeandika ujinga.
 
Naombeni msaada wadau,

Nimetuma kimakosa application za ualimu, nilienda internet cafe kufanya application bahati mbaya aliyenihudumia akawa amechanganya taarifa zangu na mtu mwingi kwenye vyeti sasa tatzo linakuja nashindwa kuviondoa vyeti vya mtu mwingine kwenye account yangu.
Ama kweli elimu ya Tanzania ni janga la taifa.

Sasa wewe hata kutumia pc hujui, fine hujui kutumia pc je hata sehemu ya kwenda kupata msaada wa jinsi ya kurekebisha nayo hujui?

Je kama hauko serious namna hii utaweza ushindani uliopo kwenye ajira za ualimu kwa sasa?

Na hapo wala usimlaumu mtu wa cafe maana kabla hajatuma kama ulikua na akili nzuri ilibidi uombe u-cross check kuhakikisha kila kitu kipo sawa! lakini kwa sababu hauko serious wala hukuona kama ina umuhimu!

Je kwa huu uzembe wako siku ukiachiwa shule hutafanya madudu?
 
Nyinyi dawa yenu ilikuwa ni interview tu mana sio kwa utopolo huu umeenda cafe na ukashindwa kutumia hio computer mwenyewe kwa ufanisi? Hivi sasa hivi si kila course ina module ya introduction to computer? Pambana na hali yako
Ni kila kozi na kila chuo hiyo kozi ipo na ni ya lazima.
 
Hivi kufanya Application ni suala la kujua kufanya Application au suala la kuwa na Resources za kufanyia.

Umeandika ujinga.
Okey resources hana, alipo enda cafe alishindwa nini kulipia muda na kukaa kwenye pc atume mwenyewe?
 
Hivi kufanya Application ni suala la kujua kufanya Application au suala la kuwa na Resources za kufanyia.

Umeandika ujinga.
Wewe mbona hujaelewa nilichoandika usipende kudandia treni kwa mbele utaumia
 
Ama kweli elimu ya tanzania ni janga la taifa.

Sasa wewe hata kutumia pc hujui, fine hujui kutumia pc je hata sehemu ya kwenda kupata msaada wa jinsi ya kurekebisha nayo hujui?

Je kama hauko serious namna hii utaweza ushindani uliopo kwenye ajira za ualimu kwa sasa?

Na hapo wala usimlaumu mtu wa cafe maana kabla hajatuma kama ulikua na akili nzuri ilibidi uombe u-cross check kuhakikisha kila kitu kipo sawa! lakini kwa sababu hauko serious wala hukuona kama ina umuhimu!

Je kwa huu uzembe wako siku ukiachiwa shule hutafanya madudu?
Tatzo sio kubaki kuhakik tatzo system ilkuwa ina shida kwa muda ambao nimekaa internet cafe niliomba msaada kwa muhudumu wa cafe system ikikaa vizur basi anisaidie kuendelea na stage zinazofata!naenda internet cafe tangu juzi.
 
Back
Top Bottom